Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ninaowatetea ni kina nani na ni vichwa vibovu kwa nini?Uko sahih, lakini inawezekana kabisa Rapper kuja na hoja mpya japo si mara zote ila hata zile zinazoexist basi inakua si copy ya moja kwa moja. Mbona Fid Q na Dizasta wanafanya hivyo na Ngoma zote ni Content tupu.
Hao unaowatetea wewe ni vicha vibovu tu.
Mimi naongelea abstract idea, sijatetea mtu.
Hakuna original idea katika rap, labda kuna original expression of an idea.
Leo 2024 uta rap kipi kiwe an original idea?