zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Lazima ukae ndani ya topic ya wimbo wako wa rap usituvuruge bwashee wewe unazungumzia Ghetto tuelezee kuhusu Ghetto lako sio unatuvurugaSticky to the specific topic? Labda anaona anakosa vina na yeye anataka kutema vina na facts tu mambo ya mada haangalii sana.
Na hafanyi rap za majigambo? Mana rappers na kutamba ni kama Pete na kidole
Bando mc sio immaturity rapper?Lazima ukae ndani ya topic ya wimbo wako wa rap usituvuruge bwashee wewe unazungumzia Ghetto tuelezee kuhusu Ghetto lako sio unatuvuruga
Mbona wasanii wengi wa rap wanaweza kuongea topics nyingi kwenye wimbo mmoja.Lazima ukae ndani ya topic ya wimbo wako wa rap usituvuruge bwashee wewe unazungumzia Ghetto tuelezee kuhusu Ghetto lako sio unatuvuruga
Kwenye mziki hakuna kitu kipya.. zipo copy nyingi sana za kihindi,kichina,kikorea,kifilipino watu wanacopy ideas wanaediti kigodo wewe unaona kama kipyaNimemuelewa sana tu, ninachopinga mimi ni ile kwamba Msanii bila Copy basi hana kitu kipya cha kubuni na kikahit. Hii me naikataa ni lazima msanii awe na fikra mpya japo si mara zote.
Na sometimes?Sometime inakuwa sample sio coppy
Ati kina dunga mawe, anadai demu wake anaona hadi siku za usoni🤣Respect kwa Fid Q ana Rap hardcore na anabadilika badilika tusha msikia kwenye beat ya Taarabu na isha mashauzi pia kwenye amapiano na Chino. Hio ndo Full package
Sasa kuna hawa kina Dungamawe kila siku
Mfumo ni uleule.watu wataanza kuwachoka watupe radha mpya
Me nazungumzia mziki we unaleta mifano ya YangaKwenye mziki hakuna kitu kipya.. zipo copy nyingi sana za kihindi,kichina,kikorea,kifilipino watu wanacopy ideas wanaediti kigodo wewe unaona kama kipya
mfano mzuri ni Uzi wa nyumbani wa yanga 22/23 walicooy Uzi timu moja Thailand kila kitu na bado Uzi ukawa mkali hapa bongo
Hizo fikra mpya kwenye hakuna sasa labda uzilete wewe.
Wee jamaa yaani unataka kusemaje? 50 cent kaibuka east na west beef ikiwa haipo, sasa ni kwanini 50 was more popular kuliko mc wenzake wa new york? Ama kwanini Ja rule was killing it wakati hata sio freestylist wa kutisha? Kumbe naongea na novice wa hiphop endelea na wa buku 2000 wenzakoWewe ndo uelewi. Ishu za ukanda ki bongo utazifananisha na za mambele.
Marekani Mpka rapper anapigwa risasi kisa Bifu za east coast na west coast utalinganisha na ukanda wa mwanza na Dar😂
Nakuachia wana bongohiphop wenzako wakubaliane ama wapingane nawe. No comment upande wangu kama hivyo ulivyo orodhesha ndio full package.Mfano wa full package
Kuna Chid Benz
1. Freestyle anaenda automatic bila kuandika
2. Achagui beat iwe bongo fleva, singeli au Taarab anapita nayo
Kuna fid Q
1 anabadili radha kenye amapiano tumeskia pia Taarabu
kuna Gnako
1. Rap na kuimba anaweza
2 ana flow zaidi ya 3
3 achagui beat
Kuna professor Jay
1 anabali beat tumeskia kwenye beat ya singeli tukampa credit zake.
Kuna Rosaree
1 ana flow style zaidi ya 3
2 ana rap hadi kwa kiingereza
3 tushamsikia kwenye Beat ya singeli, Trap na Drill
Kuna MR Blue
1 anabadili flow style
2 tushamsikia kwenye beat tofauttofaut
Young lunya
1 ana flow style zaid y 3
2 . Tumeskia kwenye beat tofauttofaut
3 upande wa freestyle ni mplka akae chini aandike automatic hawezi
List ni ndefu. Sasa hao Rapper wako wanatimiza vigezo vingapi kati ya nilivyo taja ili tuwaite full package.
Umefuatilia NYIMBO ZA bando mc, NACHA, G.H.A.F.L.A Bin vuuSio Bongo yetu tu, hata huko Marekani kwa wenye Hip Hop yao sasa hivi imeingiliwa na vijana wa hivyo. Sasa hivi auto tune mwanzo mwisho na matusi kibao lakini wanachoongea akina sense yoyote.
Wakongwe kama 2PAC hata asipoimba, ukimpa microphone atoe speech unaweza ukatumia muda kumsikiliza.
Hata hata hapa kwetu wasanii waliosimama kidete mpaka wakabadilisha mtazamo wa wazee wetu kipindi hicho kwamba huu sio muziki wa kiuni nI watu ambao wamehudhuria vidato. Na maanisha watu kama Sugu, Solo Thang, Myalu, Mwana FA na wengineo.
Kwa mtazamo wangu, kwenye aina hii ya muziki, huwezi kuwa na ujumbe wa kueleweka kama hujawahi kusoma kitabu hata siku moja.
NIKuulize swali.Nakuachia wana bongohiphop wenzako wakubaliane ama wapingane nawe. No comment upande wangu kama hivyo ulivyo orodhesha ndio full package.
Nacha mnyama mkali sanaNaomba nitoe MWONGOZO iwe Kama S.I unit kwenye huu Uzi.
Kuhusu bando MC nimesikiliza NGOMA zake nyingi ni nzurii sanaa TU.
*Naomba tuongee
*Hallelujah
*This time tomorrow
*Sir God
Hizi ni kwa uchache jamaa yupo vizuri Mbona.
NB .
Yupo Msanii NACHA mzee wa nyasubi ndani ya mbanyu (nyumba) yupo vizuri Sana na yeye unaweza kumfuatilia pia ukasikiliza NGOMA zake.
Shida sio kuongelea topic nyingi, shida ni kumaliza topicMbona wasanii wengi wa rap wanaweza kuongea topics nyingi kwenye wimbo mmoja.
Binafsi nacha na bando wote nawakubali wanatungo nzurii sanaaNacha mnyama mkali sana
Mfano,.Shida sio kuongelea topic nyingi, shida ni kumaliza topic
Shida ya huyu Bando topic zake huwa haziishi kwenye ngoma zake nyingi sio zote