Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Sticky to the specific topic? Labda anaona anakosa vina na yeye anataka kutema vina na facts tu mambo ya mada haangalii sana.

Na hafanyi rap za majigambo? Mana rappers na kutamba ni kama Pete na kidole
Lazima ukae ndani ya topic ya wimbo wako wa rap usituvuruge bwashee wewe unazungumzia Ghetto tuelezee kuhusu Ghetto lako sio unatuvuruga
 
Naomba nitoe MWONGOZO iwe Kama S.I unit kwenye huu Uzi.

Kuhusu bando MC nimesikiliza NGOMA zake nyingi ni nzurii sanaa TU.

*Naomba tuongee
*Hallelujah
*This time tomorrow
*Sir God

Hizi ni kwa uchache jamaa yupo vizuri Mbona.

NB .
Yupo Msanii NACHA mzee wa nyasubi ndani ya mbanyu (nyumba) yupo vizuri Sana na yeye unaweza kumfuatilia pia ukasikiliza NGOMA zake.
 
Sio Bongo yetu tu, hata huko Marekani kwa wenye Hip Hop yao sasa hivi imeingiliwa na vijana wa hovyo. Sasa hivi auto tune mwanzo mwisho na matusi kibao lakini wanachoongea akina sense yoyote.
Wakongwe kama 2PAC hata asipoimba, ukimpa microphone atoe speech unaweza ukatumia muda kumsikiliza.
Hata hapa kwetu wasanii waliosimama kidete mpaka wakabadilisha mtazamo wa wazee wetu kipindi hicho kwamba huu sio muziki wa kihuni nI watu ambao wamehudhuria vidato. Na maanisha watu kama Sugu, Solo Thang, Myalu, Mwana FA na wengineo.
Kwa mtazamo wangu, kwenye aina hii ya muziki, huwezi kuwa na ujumbe wa kueleweka kama hujawahi kusoma kitabu hata siku moja.
 
Nimemuelewa sana tu, ninachopinga mimi ni ile kwamba Msanii bila Copy basi hana kitu kipya cha kubuni na kikahit. Hii me naikataa ni lazima msanii awe na fikra mpya japo si mara zote.
Kwenye mziki hakuna kitu kipya.. zipo copy nyingi sana za kihindi,kichina,kikorea,kifilipino watu wanacopy ideas wanaediti kigodo wewe unaona kama kipya

mfano mzuri ni Uzi wa nyumbani wa yanga 22/23 walicooy Uzi timu moja Thailand kila kitu na bado Uzi ukawa mkali hapa bongo

Hizo fikra mpya kwenye hakuna sasa labda uzilete wewe.
 
Respect kwa Fid Q ana Rap hardcore na anabadilika badilika tusha msikia kwenye beat ya Taarabu na isha mashauzi pia kwenye amapiano na Chino. Hio ndo Full package

Sasa kuna hawa kina Dungamawe kila siku
Mfumo ni uleule.watu wataanza kuwachoka watupe radha mpya
Ati kina dunga mawe, anadai demu wake anaona hadi siku za usoni🤣
 
Kwenye mziki hakuna kitu kipya.. zipo copy nyingi sana za kihindi,kichina,kikorea,kifilipino watu wanacopy ideas wanaediti kigodo wewe unaona kama kipya

mfano mzuri ni Uzi wa nyumbani wa yanga 22/23 walicooy Uzi timu moja Thailand kila kitu na bado Uzi ukawa mkali hapa bongo

Hizo fikra mpya kwenye hakuna sasa labda uzilete wewe.
Me nazungumzia mziki we unaleta mifano ya Yanga
 
Wewe ndo uelewi. Ishu za ukanda ki bongo utazifananisha na za mambele.
Marekani Mpka rapper anapigwa risasi kisa Bifu za east coast na west coast utalinganisha na ukanda wa mwanza na Dar😂
Wee jamaa yaani unataka kusemaje? 50 cent kaibuka east na west beef ikiwa haipo, sasa ni kwanini 50 was more popular kuliko mc wenzake wa new york? Ama kwanini Ja rule was killing it wakati hata sio freestylist wa kutisha? Kumbe naongea na novice wa hiphop endelea na wa buku 2000 wenzako
 
Mfano wa full package
Kuna Chid Benz
1. Freestyle anaenda automatic bila kuandika
2. Achagui beat iwe bongo fleva, singeli au Taarab anapita nayo

Kuna fid Q
1 anabadili radha kenye amapiano tumeskia pia Taarabu

kuna Gnako
1. Rap na kuimba anaweza
2 ana flow zaidi ya 3
3 achagui beat

Kuna professor Jay
1 anabali beat tumeskia kwenye beat ya singeli tukampa credit zake.

Kuna Rosaree
1 ana flow style zaidi ya 3
2 ana rap hadi kwa kiingereza
3 tushamsikia kwenye Beat ya singeli, Trap na Drill

Kuna MR Blue
1 anabadili flow style
2 tushamsikia kwenye beat tofauttofaut

Young lunya
1 ana flow style zaid y 3
2 . Tumeskia kwenye beat tofauttofaut
3 upande wa freestyle ni mplka akae chini aandike automatic hawezi

List ni ndefu. Sasa hao Rapper wako wanatimiza vigezo vingapi kati ya nilivyo taja ili tuwaite full package.
Nakuachia wana bongohiphop wenzako wakubaliane ama wapingane nawe. No comment upande wangu kama hivyo ulivyo orodhesha ndio full package.
 
SEMA MWANDISHI AMETUMIA LUGHA NGUMU SANA ATI HAJUI KURAP🤣
Hana kiwango cha kusikilizwa na watu timamu, kusema hajui kabisa hilo ni Tusi.
 
Sio Bongo yetu tu, hata huko Marekani kwa wenye Hip Hop yao sasa hivi imeingiliwa na vijana wa hivyo. Sasa hivi auto tune mwanzo mwisho na matusi kibao lakini wanachoongea akina sense yoyote.
Wakongwe kama 2PAC hata asipoimba, ukimpa microphone atoe speech unaweza ukatumia muda kumsikiliza.
Hata hata hapa kwetu wasanii waliosimama kidete mpaka wakabadilisha mtazamo wa wazee wetu kipindi hicho kwamba huu sio muziki wa kiuni nI watu ambao wamehudhuria vidato. Na maanisha watu kama Sugu, Solo Thang, Myalu, Mwana FA na wengineo.
Kwa mtazamo wangu, kwenye aina hii ya muziki, huwezi kuwa na ujumbe wa kueleweka kama hujawahi kusoma kitabu hata siku moja.
Umefuatilia NYIMBO ZA bando mc, NACHA, G.H.A.F.L.A Bin vuu
 
Nakuachia wana bongohiphop wenzako wakubaliane ama wapingane nawe. No comment upande wangu kama hivyo ulivyo orodhesha ndio full package.
NIKuulize swali.
Tuseme Nasty C au Sarkodie katu DISS wabongo. Ww utamleta Rapper/mwana hiphop gani amjibu. ?
Tupe msanii wako unaeona ana uwezo na skills za kujibu
 
Naomba nitoe MWONGOZO iwe Kama S.I unit kwenye huu Uzi.

Kuhusu bando MC nimesikiliza NGOMA zake nyingi ni nzurii sanaa TU.

*Naomba tuongee
*Hallelujah
*This time tomorrow
*Sir God

Hizi ni kwa uchache jamaa yupo vizuri Mbona.

NB .
Yupo Msanii NACHA mzee wa nyasubi ndani ya mbanyu (nyumba) yupo vizuri Sana na yeye unaweza kumfuatilia pia ukasikiliza NGOMA zake.
Nacha mnyama mkali sana
 
Shida sio kuongelea topic nyingi, shida ni kumaliza topic

Shida ya huyu Bando topic zake huwa haziishi kwenye ngoma zake nyingi sio zote
Mfano,.
Stamina NYIMBO zake anamalizaga topic..
Mfano young killer baadhi ya NYIMBO anacheza na fact na maneno sio lazima uongelee Jambo moja kwenye wimbo..

Stylist
 
Bongo wanapenda sana Rap/ Hiphop inayotoa message/ujumbe kwenye jamii. ila ukisema U flow tu na beat watu wa VIBE bila ku deliver message yoyote hawakuelewi..
Ngoma zenye ujumbe/message zinapendwa na kupokelewa vizuri kuliko za ku VIBE

Mfano
Rapcha _ lisa = ilipokelewa vizur kuliko unaua vibe
 
Back
Top Bottom