Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Sahih, mtu kama Fid kasimama zaka zote sababu licha kubadilika badilika lakin daima anazingatia message.
Respect kwa Fid Q ana Rap hardcore na anabadilika badilika tusha msikia kwenye beat ya Taarabu na isha mashauzi pia kwenye amapiano na Chino. Hio ndo Full package

Sasa kuna hawa kina Dungamawe kila siku
Mfumo ni uleule.watu wataanza kuwachoka watupe radha mpya
 
Ishu ya Rap industry ya marekani ni tofauti na Africa . Wale wana East coast na west coast wanawasapoti rapper wao kwa njia yoyte ile kisa wanaiwakilisha sehemu wanayotoka.
Ixhu ya freestyle ni kuwa na full package ya skills (gifted). Imagine rapper una mkurupua sahvi anachana hapohpo mistari automatic inatoka kichwani na mwingine ukimwambia tupe mistari anaimba aliyoiandika au apewe muda akae chini ndo aandike.
Ishu ya kupendwa ila hujui ku freestyle ni love ya watu . Mimi nazungumzia Full package Rapper
Tanzania hakuna ukanda katika rap? Wa chuga, wa mbeya, wa Mwanza, wa dsm. Unaongea nini wewe. Sasa nani ni full package rapper kwa Tz. Mwenye vigezo vyako vyote.
 
Respect kwa Fid Q ana Rap hardcore na anabadilika badilika tusha msikia kwenye beat ya Taarabu na isha mashauzi pia kwenye amapiano na Chino. Hio ndo Full package

Sasa kuna hawa kina Dungamawe kila siku
Mfumo ni uleule.watu wataanza kuwachoka watupe radha mpya
Aiseee kama hii ndio maana ya full package basi mzee endelea. Yaani kurap kwenye different genre ndio full package basi sawa
 
Mbona kama Sir God ya Bando ni ya a hopeful believer na Dear God ni ya skeptic mwenye hasira na Mungu?

Aisee Sorry Unajua Muda wote Nilikuwa nawaza nyimbo ya Bando naomba Tuongee..

Na ile ya Dear God ya dax ndo zinafanana..
Akili yangu ilikuwa Res san..

Nyimbo ya Sir God ni Nyimbo bora kwa Bando..

Ila Ile naomba Tuongee na Dear God Ni relative..

Nilichanganya mafaili..

Naomba Tuongee

View: https://youtu.be/khU0KCGHCRM?si=akT_pXD8Pu60A68N

Na Dear God Dax

View: https://youtu.be/ik0or-7RYo0?si=63cLvrxivHW6kArC

Halafu angalia Ideas Zake Mpaka Outro
 
Tanzania hakuna ukanda katika rap? Wa chuga, wa mbeya, wa Mwanza, wa dsm. Unaongea nini wewe. Sasa nani ni full package rapper kwa Tz. Mwenye vigezo vyako vyote.
Mfano wa full package
Kuna Chid Benz
1. Freestyle anaenda automatic bila kuandika
2. Achagui beat iwe bongo fleva, singeli au Taarab anapita nayo

Kuna fid Q
1 anabadili radha kenye amapiano tumeskia pia Taarabu

kuna Gnako
1. Rap na kuimba anaweza
2 ana flow zaidi ya 3
3 achagui beat

Kuna professor Jay
1 anabali beat tumeskia kwenye beat ya singeli tukampa credit zake.

Kuna Rosaree
1 ana flow style zaidi ya 3
2 ana rap hadi kwa kiingereza
3 tushamsikia kwenye Beat ya singeli, Trap na Drill

Kuna MR Blue
1 anabadili flow style
2 tushamsikia kwenye beat tofauttofaut

Young lunya
1 ana flow style zaid y 3
2 . Tumeskia kwenye beat tofauttofaut
3 upande wa freestyle ni mplka akae chini aandike automatic hawezi

List ni ndefu. Sasa hao Rapper wako wanatimiza vigezo vingapi kati ya nilivyo taja ili tuwaite full package.
 
Wewe ndo uelewi. Ishu za ukanda ki bongo utazifananisha na za mambele.
Marekani Mpka rapper anapigwa risasi kisa Bifu za east coast na west coast utalinganisha na ukanda wa mwanza na Dar😂
 
Kwa hao Wote Young lunya Mtoe..
Hez the worst rapper Ever
 
Una miaka Mingapi?
Unakumbuka Ishu ya Nako2 nako na Kikosi cha Mizinga?

Unakumbuka Ishu ya Arusha rappers na Bongo rappers?
 
Hajui kurap au harap kama unavyotaka wewe?
Rap ni km research ndicho anachomaanisha kwenye research kuna general topic na specific topic inayozungumza kuhusu one subject sasa ukimix mada ndio hapo unavuruga watu wanaanza kujiuliza kwani wewe unazungumzia nini maana haupo specific mfano unapewa mada uzungumzie kuhusu ukimwi au umuhimu wa afya wewe unaanza kuzungumzia magari na ufundi makanika unamix mada na mambo yasiyohusu afya kwa hio unawamix watu au mada inahusu masuala ya usafiri na ajali za barabarani wewe unamix na masuala mengine ambayo hayahusiani kabisa na mada husika sasa hapo unakua umenix au umetoka kwenye mstari unapewa mada uizungumzie baiskeli wewe unaanza kuzungumzia mwili wa binadamu hapo umetoka nje ya mada
 
Kwa hao Wote Young lunya Mtoe..
Hez the worst rapper Ever
😂😂😂
Ndo New generation ya sahivi wote hao ni ma legend. Watu hawamuelewi anachokifanya style yake bongo bado n ngeni tunaisikiaga wazungu waki iimba kwa kiingereza ukiiweka kwa kiswahili ndo kabisa anaonekana hamna kitu
 
Hapna Mbona style ya Lunya Sio Ngeni walianza kuintriduce kina Gosby na Ngwear bado kila Godzilla pia waliimba Wakaja kina Country Boy..

Ila Lunya Haiwezi nahisi Conboi ndo huwa anamuandikia kama umefatilia. Nyimbo za Lunya Za hivi karibuni ni mbaya sana
 
Hizo ni ixhu za midomo na hate kitaani

Hatujaona Action kama ta Tu pac na Big.
Unafahamu kuwa Niki wa Pili na Gnako waliwahi kupigwa na Kikosi cha Mizinga?

Na salama Jabiri alipokuwa Ameegemea Upande wa Arusha Alinyolewa Nywele kipara?

Ilikuwa Sio Ishu ya Midomo watu alikuwa wakichezea Mikong'oto kweli kweli Ishu ya Hip hop ya Dar na Chuga Kuresolve ni hivi juzi juzi tu hapa niaka ya 2010s ila ilikuwa ni worst sana
 
Sticky to the specific topic? Labda anaona anakosa vina na yeye anataka kutema vina na facts tu mambo ya mada haangalii sana.

Na hafanyi rap za majigambo? Mana rappers na kutamba ni kama Pete na kidole
Rap ni km research ndicho anachomaanisha kwenye research kuna general topic na specific topic inayozungumza kuhusu one subject sasa ukimix mada ndio hapo unavuruga watu wanaanza kujiuliza kwani wewe unazungumzia nini maana haupo specific mfano unapewa mada uzungumzie kuhusu ukimwi au umuhimu wa afya wewe unaanza kuzungumzia magari na ufundi makanika unamix mada na mambo yasiyohusu afya kwa hio unawamix watu au mada inahusu masuala ya usafiri na ajali za barabarani wewe unamix na masuala mengine ambayo hayahusiani kabisa na mada husika sasa hapo unakua umenix au umetoka kwenye mstari unapewa mada uizungumzie baiskeli wewe unaanza kuzungumzia mwili wa binadamu hapo umetoka nje ya mada
 
Unafahamu kuwa Niki wa Pili na Gnako waliwahi kupigwa na Kikosi cha Mizinga?

Na salama Jabiri alipokuwa Ameegemea Upande wa Arusha Alinyolewa Nywele kipara?

Ilikuwa Sio Ishu ya Midomo watu alikuwa wakichezea Mikong'oto kweli kweli Ishu ya Hip hop ya Dar na Chuga Kuresolve ni hivi juzi juzi tu hapa niaka ya 2010s ila ilikuwa ni worst sana
Hao wote wanaiga bifu za marekani. Kwa uzito huo unaweza ku compare na Tupac kufa,revenge ikaenda kwa Big

kimatendotunaona kabisa marekani ixhu yao ilivyo serious kina pop smoke l, Nipsey husltle, Xxx sensation. uta compare kupigwa risasi na kufa na ixhu ya kunyoana nywele na kuwekeana mipaka kwamba tusikuone mikoani
 
Mfano wa full package
Kuna Chid Benz
1. Freestyle anaenda automatic bila kuandika
2. Achagui beat iwe bongo fleva, singeli au Taarab anapita nayo

Kuna fid Q
1 anabadili radha kenye amapiano tumeskia pia Taarabu

kuna Gnako
1. Rap na kuimba anaweza
2 ana flow zaidi ya 3
3 achagui beat

Kuna professor Jay
1 anabali beat tumeskia kwenye beat ya singeli tukampa credit zake.

Kuna Rosaree
1 ana flow style zaidi ya 3
2 ana rap hadi kwa kiingereza
3 tushamsikia kwenye Beat ya singeli, Trap na Drill

Kuna MR Blue
1 anabadili flow style
2 tushamsikia kwenye beat tofauttofaut

Young lunya
1 ana flow style zaid y 3
2 . Tumeskia kwenye beat tofauttofaut
3 upande wa freestyle ni mplka akae chini aandike automatic hawezi

List ni ndefu. Sasa hao Rapper wako wanatimiza vigezo vingapi kati ya nilivyo taja ili tuwaite full package.
Hapa anaeweza kufreestyle bila kuandika ni Chid tu hao wengine mpaka wachore mistari yao kwanza na wengine hapo kufreestyle hawajui kabisa ila wanachojua ni kuandika mistari, kurekodi studio na kurap kile walichokiandika kwenye mashairi yao kinyume na hapo wape beat warap kuhusu kitu fulani chenga wataishia kujitafuna tu mpaka utawashangaa
 
Back
Top Bottom