B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Respect kwa Fid Q ana Rap hardcore na anabadilika badilika tusha msikia kwenye beat ya Taarabu na isha mashauzi pia kwenye amapiano na Chino. Hio ndo Full packageSahih, mtu kama Fid kasimama zaka zote sababu licha kubadilika badilika lakin daima anazingatia message.
Sasa kuna hawa kina Dungamawe kila siku
Mfumo ni uleule.watu wataanza kuwachoka watupe radha mpya