Msanii Barnaba atanisamehe katika hili

Mfupi kama akili yake ndo maana kabadili dini kumfata mwanamke, ushuzi tu
 
kuna wimbo kaimba Barnaba na huyo Marioo hebu kasikikize vyenye marioo alivopotezwa...
 
Barnaba ni msaniiwenye sauti nzuri na mwenyekujua kuandika. Shida yake ni menejiment iliyomshika haimpi hadhi anayostahili. Hayuko peke peke yake ktk kundi hiko yuko pia Aslay na wengine. Hawa wamefanywa reputation yao iwe chini.
 
Nibembee🔥
Lover boy🔥
Hadithi 🔥
Mapenzi jeneza🔥
 
Imagine nyimbo pekee ninayo iona kali ya huyu mwamba ni LOVER BOY tu. Nyingine zote naona kama za zuchu [emoji23][emoji23][emoji23]
Anajivunia sauti tu, ila nyimbo ni nyepesi.Mi namuona mtu anaejua kujiremba na kujipamba kuliko wadada wengi.Na pengine kuvaa nguo zenye nyakati za kike.
 
Sababu ni hiyo tu, au kuna sababu nyingine umeamua kuzificha nyuma ya pazia?

Maana isije ikawa ameingia kwenye 18 zako! Ni juzi tu hapa ametoka kuvuta jiko kali!!
 
Pamoja na madhaifu yake mengine ikiwa ni pamoja na Kulialia kama mtoto au wakike, na ushamba WA Wanawake.

Bado yupo katika top 10 ya wasanii wa kiume wanaojua kuimba hapa nchini TANZANIA.

Diamond mwenyewe Kwa Barnaba hatoboi hasa kwenye uimbaji.

Changamoto za Barnaba zinazomfanya asiwe mwombaji mkubwa ni;
1. Hana Haiba, mwonekano wa kuvutia.
2. Hana Nyota
3. Hajiamini na hawezi kuvaa uhusika wa kisanii. Hana drama.
4. Sio kiongozi Ila yupo kwaajili ya kutongozwa.
 
Barnaba anaimba vizuri ila Hana nyota
 
Namba mbili ndo fungal kazi
 
Ila ni ukweli me nshaliona hili muda mrefu hata mashairi Bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…