Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment ikafanyiwe lamination na kubandikwa ukutani kwa kila mpenda mziki mzuri.[emoji868][emoji868][emoji868][emoji118]Kuna wasanii na wanamuziki, mtu yeyote anaweza kuwa msanii ila ni ngumu sana kuwa mwanamziki.
Barnaba, Damian Soul Na Grace Matata ni miongoni mwa wanamziki wachache tulionao katika nchi hii.
Ukiupenda mziki, utampenda Barnaba.
Lover boy, I'm sorry, Isweke, Tunafanana na washa ni miongoni mwa vibao hatari sana kutoka kwa huyo Mwamba.
Ila huwa sivutiwi na lifestyle yake.
Noted[emoji120][emoji120][emoji120]Dini haiwezi mkosesha mwanaume wa kweli jambo lake.Dini ni muhimu kwa watumwa.