Msanii Barnaba wa THT aomba 'kolabo' na rais

Msanii Barnaba wa THT aomba 'kolabo' na rais

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Leo mida fulani hivi ya saa nane mchana nilikuwa nasikiliza Clouds fm kwenye kipindi cha XXL kuna segment inaitwa 255 ndipo nikamsikia Barnaba anasema eti anamuomba rais Magufuli aende kwenye studio yake akapige ngoma katika nyimbo yake(Barnaba).

Jamani huu si ni utani na rais wa waziwazi! Yaani kabisa Magufuli aende kurekodi studio?

Wasanii kuweni na adabu jamani.
 
Poa mkuu ila kwa anayejitambua ku mention hivyo vitu sio big deal maana bado ungeeleweka kuwa umesikia redioni.

Na log out hapa kwenye iphone 6 yangu 🙂🙂🙂🙂🙂🙂


Haina tabu mkuu lazima ajivunie maana kavitafuta Kwa jasho kwanini akuogope Wewe ?
Aweke hadharani ili nawewe utamani upambane kutafuta kama yeye . Sioni kama yupo wrong .
Nashangaa wanao kwazika kwakua haviwahusu sasa Tabu nini ?
Msiwakoseshe watu Amani kisa ninyi mtasema , hiyo siyo haki
 
Back
Top Bottom