juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Leo mida fulani hivi ya saa nane mchana nilikuwa nasikiliza Clouds fm kwenye kipindi cha XXL kuna segment inaitwa 255 ndipo nikamsikia Barnaba anasema eti anamuomba rais Magufuli aende kwenye studio yake akapige ngoma katika nyimbo yake(Barnaba).
Jamani huu si ni utani na rais wa waziwazi! Yaani kabisa Magufuli aende kurekodi studio?
Wasanii kuweni na adabu jamani.
Jamani huu si ni utani na rais wa waziwazi! Yaani kabisa Magufuli aende kurekodi studio?
Wasanii kuweni na adabu jamani.