Yaani kakopi kila kitu !!!nilipokuwa darasa la tatu kuna jamaa alikuwa ana kopi majibu kwenye mtihani toka kwa rafiki yake,jamaa aliyekuwa ana kopi alifanya kosa aka kopi mpaka jina la jamaa aliyekuwa anamwangalizia!!!ndivyo alivyofanya Ben!!!
Yap mimi kuna siku
nilikuwa naisifia kweli Jikubali mbele ya mshakaji...
Akaniambia hiyo track amekopi nyimbo ya mbele kuanzia idea hadi melody,
nikawa siamini jamaa akachukua laptop akanipigia hiyo nyimbo niliona
aibu mbaya..
Hiyo nyimbo amekopi kila kitu alichobadilisha ni majina ye kaweka kina
lady jaydee na zito jamaa wa marekani ametaja watu wa kwao..
Bongo bado sana.. Watu kuigilizia kila kitu
Nyimbo mpya ya msanii Ben pol inayoitwa JIKUBALI ni copy and paste ya mwanamuzik wa america anayeitwa The script au William!! Ben pol ameigiza kila kitu kuanzia tune, melody, lyrics, chorus!! nimeweka hapa links za nyimbo zote mbili ili uweze kujionea mwenyewe!
The Script - Hall of Fame ft. will.i.am - YouTube-hii ni ya The Script
Ben Pol - JIKUBALI (Official Music Video) - YouTube- hii ni ya Ben pol
UNAWEZA KUZICHEKI THEN UTOE MAONI YAKO, NIMEZIKILIZA SANA NAONA ZIKO THE SAME

maskini kumbe tuzo zote kapata kwa kucopy yani kacopy kila kitu.......