Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Yaani kakopi kila kitu !!!nilipokuwa darasa la tatu kuna jamaa alikuwa ana kopi majibu kwenye mtihani toka kwa rafiki yake,jamaa aliyekuwa ana kopi alifanya kosa aka kopi mpaka jina la jamaa aliyekuwa anamwangalizia!!!ndivyo alivyofanya Ben!!!
 
Hahahaha mimi rafiki yangu alikuwa nanaikopi mpaka siku kuna swali la kumention vitu 12 in sequence....basi mimi nikawa nimekosea kuvipanga sasa maisho nikaandika "but I made mistakes" si na yeye akaandika hivyo hivyo kwa kukosea. Ben pol bwana basi angesema amekopi tu, kwani vipi bwana
 
Bongo tambarare ila kwa wenzetu haya Makubwa
 
ben pal atakunya cheche huyo jamaa aje tu kumkamua wabongo hata hatumsaidi ben pal sana sana tutapiga miluzi ya kushangilia kwa sana
 
maskini kumbe tuzo zote kapata kwa kucopy yani kacopy kila kitu.......
 
Yap mimi kuna siku nilikuwa naisifia kweli Jikubali mbele ya mshakaji...

Akaniambia hiyo track amekopi nyimbo ya mbele kuanzia idea hadi melody, nikawa siamini jamaa akachukua laptop akanipigia hiyo nyimbo niliona aibu mbaya..

Hiyo nyimbo amekopi kila kitu alichobadilisha ni majina ye kaweka kina lady jaydee na zito jamaa wa marekani ametaja watu wa kwao..

Bongo bado sana.. Watu kuigilizia kila kitu
 
Yap mimi kuna siku
nilikuwa naisifia kweli Jikubali mbele ya mshakaji...

Akaniambia hiyo track amekopi nyimbo ya mbele kuanzia idea hadi melody,
nikawa siamini jamaa akachukua laptop akanipigia hiyo nyimbo niliona
aibu mbaya..

Hiyo nyimbo amekopi kila kitu alichobadilisha ni majina ye kaweka kina
lady jaydee na zito jamaa wa marekani ametaja watu wa kwao..

Bongo bado sana.. Watu kuigilizia kila kitu

yani wabongo tunatia aibu sasa, watu wanaweza kuiba idea, lakini hii ya kuiba lyrics, tune, melody imezidi
 
Nyimbo mpya ya msanii Ben pol inayoitwa JIKUBALI ni copy and paste ya mwanamuzik wa america anayeitwa The script au William!! Ben pol ameigiza kila kitu kuanzia tune, melody, lyrics, chorus!! nimeweka hapa links za nyimbo zote mbili ili uweze kujionea mwenyewe!

The Script - Hall of Fame ft. will.i.am - YouTube-hii ni ya The Script

Ben Pol - JIKUBALI (Official Music Video) - YouTube- hii ni ya Ben pol

UNAWEZA KUZICHEKI THEN UTOE MAONI YAKO, NIMEZIKILIZA SANA NAONA ZIKO THE SAME

Mkuu siku ben pol ametoa hiyo track, mi nilompandia facebook nikamtumia meseji kumwambia awe wazi kuhusu kukopy akanipotezea but nikaendelea kumwambia utaumbuka itakuwa aibu akujibu, hvo nikaamua kuandiaka kwa fans page yake ili watu wajue cha ajabu status yangu ikafutwa sasa leo mtu mzima umeumbuka wambie clouds waje wakutetee au njoo ufute na hii thread hapa JF
 
Huyu mtoto kuanzia leo nafuta nyimbo zake ktk komputa yangu, he is a disgrace to our music. Mbwa huyo, shenz anti pol
 
Halafu sikia beni polo hakuna mtu anataka kusikia ma nyimbo yako ya kuiga. Tuondolee utahira hapa.
 
Nyimbo mpya ya msanii Ben pol inayoitwa JIKUBALI ni copy and paste ya mwanamuzik wa america anayeitwa The script au William!! Ben pol ameigiza kila kitu kuanzia tune, melody, lyrics, chorus!! nimeweka hapa links za nyimbo zote mbili ili uweze kujionea mwenyewe!

The Script - Hall of Fame ft. will.i.am - YouTube-hii ni ya The Script

Ben Pol - JIKUBALI (Official Music Video) - YouTube- hii ni ya Ben pol

UNAWEZA KUZICHEKI THEN UTOE MAONI YAKO, NIMEZIKILIZA SANA NAONA ZIKO THE SAME

OYA nan atakuja kumshitak? afu hiyo nyimbo kabla ajatoa video kuna NDUGU YANGU aliambia kacopy sasa nilifikil BEN POL atatole video NYIMBO YA PETE matokeo yake katolea JIKUBAL aliyotumia akili za wenzake alichofanya kuibalisha lugha na kuimba kiswahil kwel MGEMA UKIMSIFIA SANA POMBE UTIA MAJ. Hawa ndo wasanii wa RUGE PROMO nying na kuwaonaga kuwa Hawakosei
 
Aaah Kumbe ndomaana kuna siku B12 mtangazaj wa XXL cloudsfm aliipiga nyimbo inaitwa ME AND U ya msaanii WA NIGERIA afu akasema ingekua OMMY DIMPOZ katoa baada ya hawa jama tungesema amecopy na kupaste KUMBE nilichogundua alikua akiitetea BRADY Yao BEN POL kwa MLANGO WA NYUMA ILI WASIKOSE SOKO lakin kwa hili BEN POL kacopy na UTASHANGAA TUZO ZA MWAKAN ANAPATA NA KUWA NOMINATED kwenye category kibaaaaao
 
hiyo nyimbo nilikua naipenda sana kumbe copy naku pest dah kumbe brother una bahatisha mziki...
 
Tzboy1, kwani tanzania hujui watoa tuzo ni locals in their mind. Wabongo kwa kujishaua utawaona tu. Watajisifia sana lakini ukija waona wanafanya kitu hamna kitu....ben pol ------ tu. Tena sio yeye tu..wasanii wengi tanzania bongo flava watakuambia am a songwriter..blah blah..kumbe hamna kitu.
 
Back
Top Bottom