Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

Ni wizi mkubwa,hata akikanusha ukweli ni huo.wimbo umeimbwa na The script feat. Will I.am...ulitoka kwa mara ya kwanza mwaka jana
 
Mjini shule....watu wanaishi kimipango tu hata kwenye sanaaaa. Yaaay I love bongo.....count your days buddy
 
Nilikuwa naupenda sana sana huu wimbo!kumbe copy na kupest?nalifuta kbsa hili liwimbo,mifi kbsa
 
Ayaaaa nimepata loss, i wanted to invest in this song. Dah sema kimeshanuka na hali ya hewa ishachafuka.Ungesema ukweli tu dogo watanzania waelewa wangekuelewa.
 
janja naona uwezo wako wa kufikiria na kutunga umeishia hapo..........ushauri wa bure:wanaokusifia kuwa unajua muziki wanakudanganya RUDI UKAENDELEE NA SHULE ndo mkombozi wako wa maisha music ushabug meeeeeeeeeeeeeeeeeen!!!!!!!!!!
 
........afu co tu audio wadau mpaka kichupa dzyn kinafanania na cha The script......nisher kuwa makini bros madogo ka awa watakushushia credibility yako ktk video industry internationally!!!!!!!!!!!
 
Wananishangaza sana hawa wasanii kujifanya mabitoz kwa wizi wa nyimbo za watu,mi niliziona na aliniambia jamaa kuwa yawezekana pia nyimbo zake zote ni hvyo hvyo,wizi mtupu,umizeni vichwa vyenu sio kukopi na kupest.
 
Mwacheni mkaka wa watu nae apate mbona mafisadi wanaowaibia jasho lenu hamuwanangi ivi?
 

BEN POL- JIKUBALI LYRICS

Verse1;

Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star


Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa


Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako


Usiache jambo Kati kwenye maisha yako


Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay


Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray


Mi Nakuasa it's your time,


Huwezi kuwa chini you've got somethin' special


Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto


Trust me iko siku utatimiza ndoto yako


You can be a Boss, you can be a Lawyer


You can be the President


You'll be successful
 
Chorus;
Wakati wako ndio leo (leo)

Kutimiza malengo yako,


Nakusihi Anza sasa (sasa)


Jishughulishe utapata (rudia mara mbili)
 
Verse 2;
Utavunja vunja miamba, hamisha milima
Vikwazo lazima nawe usirudi nyuma
You'll be a hero, you can be the best
You can be a leader (dedicate yourself)
Tanzania ni yako, penda watu wako
Kuwa mfano bora kwenye jamii yako
Star Kama AY , kufika alipo FA
Inawezekana if you work hard in it
Na utafika mbali utazame ulikotoka
Mbunifu mwenye hadhi kama Hadija Mwanamboka
Unaweza kuwa rubani, unaweza Hakimu
Unataka kuwa Salama, unaweza kuwa Hasheem
 
(Bridge)
You can be a champion (Jikubali)
You can be a teacher (Jikubali)
You can be a leader (Jikubali)
You can be a Preacher (Jikubali)
 
Waweza kua hakimu.... malizia basi jamani mh! Naupeda sana this song hata kama kakopi

Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star
Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa
Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako
Usiache jambo Kati kwenye maisha yako
Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay
Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray
Mi Nakuasa it's your time,
Huwezi kuwa chini you've got somethin' special
Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto
Trust me iko siku utatimiza ndoto yako
You can be a Boss, you can be a Lawyer
You can be the President

yatosha nisije maliza utamu mie!!!!!!
 
Heaven on earth umenikosha haswaaaa...... nitakupa zawadi badae

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…