missyreina
New Member
- Apr 11, 2012
- 2
- 0
Ni wizi mkubwa,hata akikanusha ukweli ni huo.wimbo umeimbwa na The script feat. Will I.am...ulitoka kwa mara ya kwanza mwaka jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikisema Belle 9 ni mfalme wa RnB msibishe
Nilikuwa naipenda hii nyimbo na jana tu asubuhi nilikuwa naiimba
naisifia na kwa best yangu kuwa this song is good,kumbe amecopy
each &everything............
Waweza kua hakimu.... malizia basi jamani mh! Naupeda sana this song hata kama kakopi
Unaweza kuwa Doctor, unaweza kuwa Star
Unataka kuwa Linah, unaweza kuwa Shaa
Kipaji Mali yako, Elimu Ngao yako
Usiache jambo Kati kwenye maisha yako
Unaweza kuwa Diamond, unaweza kuwa Jay
Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray
Mi Nakuasa it's your time,
Huwezi kuwa chini you've got somethin' special
Unampenda Lady Jay dee unamzimia Zitto
Trust me iko siku utatimiza ndoto yako
You can be a Boss, you can be a Lawyer
You can be the President
yatosha nisije maliza utamu mie!!!!!!
manoah ahadi ni deni....Heaven on earth umenikosha haswaaaa...... nitakupa zawadi badae