Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol apanga kukata mishipa ya uzazi

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
1657908511710.jpg

Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto wake wa kwanza.

Baraza anasema suala la upangaji uzazi katika ndoa linafaa kuwa la wapenzi wote na yeye binafsi hawezi kubali kumuachia mke wake jukumu hilo pekee.

Kati ya Mume na Mwanamke nani anafaa kupanga uzazi?
 
View attachment 2291901

Hili kundi lina vijana wa hovyo
 
Back
Top Bottom