Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bendi ya mapunga hiyo.ana hamu ya kupumuliwa
Ule wimbo wa insecure naupenda sana ila video yake kuna kipande huwa kinanichefua.Napenda nyimbo Zao ,kumbe napenda mashoga
View attachment 2291901
Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto wake wa kwanza.
Baraza anasema suala la upangaji uzazi katika ndoa linafaa kuwa la wapenzi wote na yeye binafsi hawezi kubali kumuachia mke wake jukumu hilo pekee.
Kati ya Mume na Mwanamke nani anafaa kupanga uzazi?
Kipande kipi kkUle wimbo wa insecure naupenda sana ila video yake kuna kipande huwa kinanichefua.
Wakati wimbo unaelekea mwishoni, kuna kundi la watu wanaonekana wanatembea. Sasa kwenye hilo kundi kuwa vijana wawili wa kiume wakati wanatembea huea wanaangalia katika hali fulani isiyofaa.Kipande kipi kk
🤣🤣🤣 rasilimali watuMta ana acha kutafna rasilimali hizi anaenda kushika ukuta dunia ina mamboView attachment 2293075
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukitafuna wee inatoshaaa, kwani lazima wote watafune?Mta ana acha kutafna rasilimali hizi anaenda kushika ukuta dunia ina mamboView attachment 2293075
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app