Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.

Kwa Kuwa Ni Maarufu Kiasi Lakini Watu Wengi Wanakufa Kwa Vifo Vya Namna Yake Tena Wengine Hakuna Hata Msaada Wa Kupelekwa Kituo Cha Afya Alafu Safii Tu,,,Misiba Ya Wasanii Inaendeshwa Kisanii Sanii Mtu Anajirekodi Tik Tok Analia,,Whats The Fuckk....!!!Kifo Ni Kifo Tu Hakikosagi Sababu Na Ndio Namna Ya Kujifajiri Kwetu
 
Wengine wanaji rekodi wamepiga magoti wanaomba Mungu 😂😂😂 halaf wqna post.
Nimeona yule mnamuita Muna love
 
Yule aliandika "YESU hii ni slide ya pili hii akimaanisha ule ujumbe Yesu anausoma
 
Nasikitika kusema vifo vingi sio vya Mungu, ila wengi hudhani ni Mungu.

Vifo vingine ni vya kishetani...

Sio kila anayekufa anapumzika kwa amani, wengine wanatumikishwa kuzimu...

NB: YESU tupe macho tuone
"Hakuna kifo cha mungu Wala cha shetani, kifo ni kifo tu..." By Samiya Suluhu Hasan.
 
Msanii Carina , hajarogwa na mtu yeyote ila amefariki kifo cha kawaida.
Kurogwa au imani za kishirikina ni excuse inayotumiwa na wabongo, masikini , ili kutafuta kukwepesha kuwajibika kwa muhusika
Ni moja ya culture za hovyo sana
 
Back
Top Bottom