Msanii Chameleone anyang’anywa gari baada ya kushindwa kulipa kodi

Msanii Chameleone anyang’anywa gari baada ya kushindwa kulipa kodi

diamond kwa sasa anamfukuzia ze jose chameleone..

waacheni wajaze server za mitandao...
 
Mi nakwambia ukweli rate ya sasa hivi ukichange Uganda na ukiwa boda ni 1.5 au 1.55 na ukichange bank za Tanzania au bureau utapata pesa ndogo kununua pesa ya ug utapata 1400 kwa kila 1000tzsh na kununua pesa ya Tanzania utanunua kwa 1600 kwa 1000tzsh.

Hivyo bora uchange boda au Kampala utapata 1550 kwa kila 1000 tzsh

Nafanya tourism na moja kati ya vitu ninavyo-deal navyo ni exchange ya foreign money. Usinidanganye hata kidogo mkuu....Sitokubali nyeusi ninayoiona uniambie ni njano.
 
Back
Top Bottom