Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
diamond kwa sasa anamfukuzia ze jose chameleone..
waacheni wajaze server za mitandao...
waacheni wajaze server za mitandao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nakwambia ukweli rate ya sasa hivi ukichange Uganda na ukiwa boda ni 1.5 au 1.55 na ukichange bank za Tanzania au bureau utapata pesa ndogo kununua pesa ya ug utapata 1400 kwa kila 1000tzsh na kununua pesa ya Tanzania utanunua kwa 1600 kwa 1000tzsh.
Hivyo bora uchange boda au Kampala utapata 1550 kwa kila 1000 tzsh