nimesoma heading vibaya nilidhani ni yule nyoka makengeza aka ATM ya chama
Mleta mada hajielewi,watu wamefunga kitambaa nyeusi kwa ajili ya msiba ye anaongea dumba,we mwehu kweli usiposti utumbo jipange
it taked one to know one.
sasa mbona kavaa yeye tu alafu kinakiduara kama kimetuna tuna sijui mifupa ya mtoto mchanga baada ya kusagwa.????
Sasa kama anamenejiwa na Mkubwa fella na Babu tale,unategemea nini zaidi ya ndumba tu.Tanzania kwa ushirikina hatujambo
Acha uzubekuku,we unatambuaje hirizi au mchawi
Hapana Jamani! Twendeni taratibu! Hiyo shoo ilifanyika mwisho wa wiki Dodoma, na huko ndio ulipo msiba wa Mez B, washkaji wakaamua kufunga black armband just to symbolize their mourns to loved member of chamber squad! Angalia na maandishi ya T-shirts zao
hirizi inatuna kama hiyo
Usilazimishe imetuna umeona wapi,rudia kuangalia picha au huangalii picha iliyowekwa!
Zoomed..