Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Mleta MADA dongo lako ilo, kama si lako la jirani yako...lol
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1424626442.719450.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1424626442.719450.jpg
    43.5 KB · Views: 531
Mleta mada hajielewi,watu wamefunga kitambaa nyeusi kwa ajili ya msiba ye anaongea dumba,we mwehu kweli usiposti utumbo jipange
 
Hapana hapo alikuwa anaomboleza kifo cha MeZ b
 
Inawezekana ikawa hirizi, lakini hirizi gani wafunga kwenye kiungia cha mkono begani na wakati huo huo unakunja t-shirt ionekane vizuri? Na mbona kuna vitambaa vyeusi kafunga kwenye wrist za mikono yote miwili, au vyote vitatu ni hirizi? Ama mtu atupe tafsiri ya hirizi...
 
Ya kichina hile..! Hirizi gani hata haipumui.
 
Mleta mada hajielewi,watu wamefunga kitambaa nyeusi kwa ajili ya msiba ye anaongea dumba,we mwehu kweli usiposti utumbo jipange

sasa mbona kavaa yeye tu alafu kinakiduara kama kimetuna tuna sijui mifupa ya mtoto mchanga baada ya kusagwa.????
 
Sasa kama anamenejiwa na Mkubwa fella na Babu tale,unategemea nini zaidi ya ndumba tu.Tanzania kwa ushirikina hatujambo

Kumbe had menejimenti zinahusika???basi tusubiri kuiona na ya domond ina ukubwa gani????
 
Hapana Jamani! Twendeni taratibu! Hiyo shoo ilifanyika mwisho wa wiki Dodoma, na huko ndio ulipo msiba wa Mez B, washkaji wakaamua kufunga black armband just to symbolize their mourns to loved member of chamber squad! Angalia na maandishi ya T-shirts zao

Ok tufanye ni black armband kama unavyosema!ya Mh temba iko wapi????au ye kafunga kiunoni???yani hiyo armband imepanda had kufika huko kwapani????aibu kwa kijana wa karne hii kuamini ushirikina!!!shame on u chigunda!!!!!
 
Hata kama ni hirizi basi asingevaa t-shirt ya design hiyo maana haina mikono mirefu.
 
Back
Top Bottom