it taked one to know one.
it taked one to know one.
Amefunga kitambaa cheusi kuomboleza msiba wa Mez B (R.I.P). Hata wachezaji wa Simba SC leo Tar. 22/02 walifunga vitambaa vyeusi dhidi ya Stendi UTD kuomboleza msiba wa Christopher Alex (R.I.P).
Amefunga kitambaa cheusi kuomboleza msiba wa Mez B (R.I.P). Hata wachezaji wa Simba SC leo Tar. 22/02 walifunga vitambaa vyeusi dhidi ya Stendi UTD kuomboleza msiba wa Christopher Alex (R.I.P).
Tumeona betri mkuu.
Acha uzushi wewe.Kwenye IG kasema tumefunga vitambaa kuomboleza msiba, cha kujiuliza mbona kavaa peke yake? Nao ili ilikua na maana gani kuvaa kuomboleza huku umeificha?
nimesoma heading vibaya nilidhani ni yule nyoka makengeza aka ATM ya chama
Kama we mpagan ndumba muhmu, nahs hana din
...ni rahisi mno kuwaongopea wabongo...
...ni rahisi kwa kuwa namna yao ya kifikiri ni kama mbuzi wanaoswagwa...
...mbuzi mmoja akivuka barabara basi mbuzi wengine wote wataelekea huko...
...jamaa kafunga kitambaa kuomboleza msiba na tshirt ina maandashi ya jina la marehemu Mez B
...lakini kwa kuwa wabongo ni kama mbuzi machungani, kosa la mleta kushindwa kutafsiri picha basi wengine wote waliofuatia wamekuja na negative energy...
Acha ungese, embu soma walichoandika kwenye t-shirt zao then utaelewa,
Hicho ni kitambaa cheusi kumuenzi mez b
...ni rahisi mno kuwaongopea wabongo...
...ni rahisi kwa kuwa namna yao ya kifikiri ni kama mbuzi wanaoswagwa...
...mbuzi mmoja akivuka barabara basi mbuzi wengine wote wataelekea huko...
...jamaa kafunga kitambaa kuomboleza msiba na tshirt ina maandashi ya jina la marehemu Mez B
...lakini kwa kuwa wabongo ni kama mbuzi machungani, kosa la mleta kushindwa kutafsiri picha basi wengine wote waliofuatia wamekuja na negative energy...
Ww ndo mngese kamdanganye mtt kwamba ile co hirz....kitu live kabxa kile kinaonekana kamani kitambaa mbona temba ajavaa afu kwann asivae usoni kavaa kwapani eti anamuenz mez b cc co vpofu wala wajinga wa kutoelewa kwamba ile ni irizi au kitambaa
SHAME ON YOU CHEGE mwanga mkubwa......
amna bana kile ni ktambaa cheusi kuonesha alama ya msiba wa mez b ndomana flana zao zmeandkwa R.I.P MEZ B
Acha uzushi wewe.
mwanzoni nilianza kuamini ni hirizi ila hii picha inathibisha kama siyo hirizi,cha kushangaza hii picha haisambazwi kweli jambo baya ndo fasta linazagaa.............wasanii wengi wa bongo flava ni washirikina ila si kwa picha hii ya chege!...sema huyu chege acha wampakazie kwani ana roho mbaya huyu mwana ni kama mchawi kweli!....kuna wakati Q chief naye sijui alidanganywa na mgaanga gani basi alikuwa anavaa mapete mengi sana akiamini nyota itawaka!siku moja alipata arosto watu wakamwambia aiweke bond pete ndo wampe kidude!mziki watu wakajifanya imepotea!dah...maneno yaliyomtoka nikaamini kweli imani za kishirikina zimemtawala