Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Amefunga kitambaa cheusi kuomboleza msiba wa Mez B (R.I.P). Hata wachezaji wa Simba SC leo Tar. 22/02 walifunga vitambaa vyeusi dhidi ya Stendi UTD kuomboleza msiba wa Christopher Alex (R.I.P).
 
Kwenye IG kasema tumefunga vitambaa kuomboleza msiba, cha kujiuliza mbona kavaa peke yake? Nao ili ilikua na maana gani kuvaa kuomboleza huku umeificha?
 
hapo kidogo negative imeanza kunijia (sio picha)
 
Kwenye IG kasema tumefunga vitambaa kuomboleza msiba, cha kujiuliza mbona kavaa peke yake? Nao ili ilikua na maana gani kuvaa kuomboleza huku umeificha?
Acha uzushi wewe.

attachment.php
 
...ni rahisi mno kuwaongopea wabongo...

...ni rahisi kwa kuwa namna yao ya kifikiri ni kama mbuzi wanaoswagwa...

...mbuzi mmoja akivuka barabara basi mbuzi wengine wote wataelekea huko...

...jamaa kafunga kitambaa kuomboleza msiba na tshirt ina maandashi ya jina la marehemu Mez B

...lakini kwa kuwa wabongo ni kama mbuzi machungani, kosa la mleta kushindwa kutafsiri picha basi wengine wote waliofuatia wamekuja na negative energy...
 
itakuwa amesoma kwenye jarida la shigongo af akadivert hapa
 
Acha ungese, embu soma walichoandika kwenye t-shirt zao then utaelewa,
Hicho ni kitambaa cheusi kumuenzi mez b

Ww ndo mngese kamdanganye mtt kwamba ile co hirz....kitu live kabxa kile kinaonekana kamani kitambaa mbona temba ajavaa afu kwann asivae usoni kavaa kwapani eti anamuenz mez b cc co vpofu wala wajinga wa kutoelewa kwamba ile ni irizi au kitambaa
SHAME ON YOU CHEGE mwanga mkubwa......
 
Ni kwaajili ya msiba wa mez b mleta mada acha kupotosha

mbona temba hajavaa?!?
 
...ni rahisi mno kuwaongopea wabongo...

...ni rahisi kwa kuwa namna yao ya kifikiri ni kama mbuzi wanaoswagwa...

...mbuzi mmoja akivuka barabara basi mbuzi wengine wote wataelekea huko...

...jamaa kafunga kitambaa kuomboleza msiba na tshirt ina maandashi ya jina la marehemu Mez B

...lakini kwa kuwa wabongo ni kama mbuzi machungani, kosa la mleta kushindwa kutafsiri picha basi wengine wote waliofuatia wamekuja na negative energy...

Mkuu umemaliza na wanaoongoza kwa kuwababika wenzao uchawi huwa ni wachawi kabisa

Hata picha watu wameshindwa kuitafsiri
 
Ww ndo mngese kamdanganye mtt kwamba ile co hirz....kitu live kabxa kile kinaonekana kamani kitambaa mbona temba ajavaa afu kwann asivae usoni kavaa kwapani eti anamuenz mez b cc co vpofu wala wajinga wa kutoelewa kwamba ile ni irizi au kitambaa
SHAME ON YOU CHEGE mwanga mkubwa......

Mara nyingi wachawi huwaona wachawi wenzao hatuwezi kukubishia kwa kuwa unauzoefu na uchawi
 
mmh watu wana mambo! wanang'ang'ania si cha msiba ni cha ndumba kama vile walimvika wao
 
amna bana kile ni ktambaa cheusi kuonesha alama ya msiba wa mez b ndomana flana zao zmeandkwa R.I.P MEZ B

Kitambaa kina linundu halafu kwa nini akivae ndani ya mkono? Chege ni mchawi na akamatwe kuhusika na mauaji ya albino
 
Acha uzushi wewe.

attachment.php

mwanzoni nilianza kuamini ni hirizi ila hii picha inathibisha kama siyo hirizi,cha kushangaza hii picha haisambazwi kweli jambo baya ndo fasta linazagaa.............wasanii wengi wa bongo flava ni washirikina ila si kwa picha hii ya chege!...sema huyu chege acha wampakazie kwani ana roho mbaya huyu mwana ni kama mchawi kweli!....kuna wakati Q chief naye sijui alidanganywa na mgaanga gani basi alikuwa anavaa mapete mengi sana akiamini nyota itawaka!siku moja alipata arosto watu wakamwambia aiweke bond pete ndo wampe kidude!mziki watu wakajifanya imepotea!dah...maneno yaliyomtoka nikaamini kweli imani za kishirikina zimemtawala
 
Hiyo roho mbaya alimfanyia nani? Acheni kumchafua mshkaji hanaga tatizo na mtu
 
Back
Top Bottom