Amevaa peke yake ni kwamba ulikuwepo kwenye show na kumuona Temba wazi wazi au unazitafsiri hizo picha? Ikiwa unatafsiri picha, je picha zilizopo zinakusaidia kuona mkono wa kulia wa Temba una nini? But all in all, kwani ni lazima wote waomboleze?Kwenye IG kasema tumefunga vitambaa kuomboleza msiba, cha kujiuliza mbona kavaa peke yake? Nao ili ilikua na maana gani kuvaa kuomboleza huku umeificha?
hii mupya graduator wa data star training college umejiunga na jf
Nilijua Nyoka mwenye makengeza hata mimi kumbe mtu wa kigoma mwisho wa reli.
Mbona hamkumsaidia kipindi anaumwa?,Moses alifika mahala hana msaada hadi mama yake alipokuja ku chukua kwenda naye Dodoma.
Tuache tabia hizi za kinafiki.
Hiyo roho mbaya alimfanyia nani? Acheni kumchafua mshkaji hanaga tatizo na mtu
hii mupya graduator wa data star training college umejiunga na jf
Una uhakika kwamba mwenzake hajavaa? Kwenye hizo picha zinakuwezesha kuona mkono wa kulia wa Temba kuna nini??!!Acheni usenge msiba wa mez b nini, mbona kavaa peke yake na mwenzake hajavaa... Hicho kitamba chakienyeji kabisa.. Woke up!!!
Umeona enh! Halafu wengine wanakomaa kwamba mbona Temba hajavaa wakati kuomboleza ni matakwa ya mtu na kubwa zaidi hata huyo Temba mwenyewe mkono wake wa kulia haonekani kuwezesha kugundua kama amevaa au hapana ikiwa reference ya kutovaa kwake ni hizo picha!Hata kama ni hirizi jamani kwani kawalogea nani yenu?
Mi nadhani wanaomkomalia sana ndo walewale tu kasoro umaarufu...PERIOD!!!
Huyo Chege kama ameficha wewe umeweza kukiona vipi? By the way, kwamba Temba mbona hajavaa, mkono wa kulia wa Temba unaonekana hapo hadi u-conclude kwamba hajavaa? Hao wacheza show mikono yao inaonekana vizuri hadi useme mbona wengine hawajavaa?Sidhan kama kuna kitu cha kubishana hapo picha imejionesha kama ingekua ni kitambaa basi wangevaa wote na hua vinaonekana bila kufichwa Chege alichovaa hapo ni hirizi
Huyo Chege kama ameficha wewe umeweza kukiona vipi? By the way, kwamba Temba mbona hajavaa, mkono wa kulia wa Temba unaonekana hapo hadi u-conclude kwamba hajavaa? Hao wacheza show mikono yao inaonekana vizuri hadi useme mbona wengine hawajavaa?
Jibu hoja...Kaa na uchawi wako nawe hajamroga mtu ila ndio imeisha onekana kama ndio mlivyo kwenu hamuwezi kuimba bila usaidiz wa hiriz basi sawa
Jibu hoja...
Basi wacha nikupuuze manake uwezo wako wa kufikiri umeishia kwenye makwapa ya Chege!We mama hoja ipi hirizi inaonekana unataka nn tena