Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Huyo Chege basi angekuwa ameamua wote muione....hirizi inavaliwa na ki-short sleeve hivyo? Ni wazi kuwa hata aweke mkono sawa hicho alichovaa kiko wazi kabisa...
 
Hahahaaa, kirahisi hivyo mkuu?
Hata hivyo naona jamaa kavaa kitambaa cheusi kama ishara ya msiba wa Mez B

Kitambaa kwapani kaka? frankly, kilichofungiwa katika kitambaa kikipelekwa kwa mkemia mkuu tunaweza kuwa puzzled na matokeo yake.
 
Halafu kuna fundo katika kitambaa....hapa ushirikina unahusika.
 
Huyo Chege kama ameficha wewe umeweza kukiona vipi? By the way, kwamba Temba mbona hajavaa, mkono wa kulia wa Temba unaonekana hapo hadi u-conclude kwamba hajavaa? Hao wacheza show mikono yao inaonekana vizuri hadi useme mbona wengine hawajavaa?

Kitambaa cha msiba kinavaliwa mbali namna hiyo!?karibu kabisa na kwapa..halafu kina fundo kubwa tu.
 
Kitambaa cha msiba kinavaliwa mbali namna hiyo!?karibu kabisa na kwapa..halafu kina fundo kubwa tu.
Huwa kinavaliwa wapi? Hivi watu wanavyoona noma masuala ya ndumba hata kama wanafanya unafkiri angevaa t-shirt yenye mikono mifupi/singlend kama ingekuwa ni hirizi?
 

Mi mwenyewe nashangaa.
Alafu baadhi wanalazimisha kabisa kwa nguvu mwenzao aonekane mshirikina......after all kina Chege walilitolea ufafanuzi kule insta kuhusiana na hivyo vi armbands walivyokuwa wamevaa huko dom pamoja na tshirt. Hiyo ni sababu tosha ya kuweza kumuelewa mtu hata kama mwenzake hana......dah ila wadau wanaendelea kushupaa tu!!!!

Btw, hivi mtu na hitizi yake kabisa ameivaa.....anaweza kujitanua vile kweli ionekane?? Kwanza kwa style yao ya kucheza kama ni kweli ana hilo dude lazima angelihamisha tu ili lisionekane! Loh no wonder people zinajudge kwa hako kapicha.....eti hirizi hahahah ebu nijichekee Ave mie!
 
Hilo la kwamba kama ingekuwa ni hirizi ingefichwa kweli kweli kuna mtu humu nimeshamwambia... asingevaa singlet! Watu hawaendi maeneo ya halaiki na wala sio maarufu bado wanaficha hirizi kwenye viuono na mapajani, itakuja kuwa m2 wa kariba ya Chege!!
 
Acha ungese, embu soma walichoandika kwenye t-shirt zao then utaelewa,
Hicho ni kitambaa cheusi kumuenzi mez b

mbona ktambaa chenyewe kina fundo kama hirizi!unatufanya sisi hatuvijui hivyo vitambaa vya msiba?
 
Dah kama mara ya nne nafungua huu uzi..Lakini bado tu ni Chege Chigunda!! Kama vipi hiyo heading ibadilishwe tena..maana na yule mwingine ni msanii pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…