Basi wacha nikupuuze manake uwezo wako wa kufikiri umeishia kwenye makwapa ya Chege!
Vzr mwenye macho haambiwi tazama kusoma hujui hata picha huon asubuh njema mpwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wacha nikupuuze manake uwezo wako wa kufikiri umeishia kwenye makwapa ya Chege!
Hahahaaa, kirahisi hivyo mkuu?
Hata hivyo naona jamaa kavaa kitambaa cheusi kama ishara ya msiba wa Mez B
Huyo Chege kama ameficha wewe umeweza kukiona vipi? By the way, kwamba Temba mbona hajavaa, mkono wa kulia wa Temba unaonekana hapo hadi u-conclude kwamba hajavaa? Hao wacheza show mikono yao inaonekana vizuri hadi useme mbona wengine hawajavaa?
Huwa kinavaliwa wapi? Hivi watu wanavyoona noma masuala ya ndumba hata kama wanafanya unafkiri angevaa t-shirt yenye mikono mifupi/singlend kama ingekuwa ni hirizi?Kitambaa cha msiba kinavaliwa mbali namna hiyo!?karibu kabisa na kwapa..halafu kina fundo kubwa tu.
Umeona enh! Halafu wengine wanakomaa kwamba mbona Temba hajavaa wakati kuomboleza ni matakwa ya mtu na kubwa zaidi hata huyo Temba mwenyewe mkono wake wa kulia haonekani kuwezesha kugundua kama amevaa au hapana ikiwa reference ya kutovaa kwake ni hizo picha!
Hilo la kwamba kama ingekuwa ni hirizi ingefichwa kweli kweli kuna mtu humu nimeshamwambia... asingevaa singlet! Watu hawaendi maeneo ya halaiki na wala sio maarufu bado wanaficha hirizi kwenye viuono na mapajani, itakuja kuwa m2 wa kariba ya Chege!!Mi mwenyewe nashangaa.
Alafu baadhi wanalazimisha kabisa kwa nguvu mwenzao aonekane mshirikina......after all kina Chege walilitolea ufafanuzi kule insta kuhusiana na hivyo vi armbands walivyokuwa wamevaa huko dom pamoja na tshirt. Hiyo ni sababu tosha ya kuweza kumuelewa mtu hata kama mwenzake hana......dah ila wadau wanaendelea kushupaa tu!!!!
Btw, hivi mtu na hitizi yake kabisa ameivaa.....anaweza kujitanua vile kweli ionekane?? Kwanza kwa style yao ya kucheza kama ni kweli ana hilo dude lazima angelihamisha tu ili lisionekane! Loh no wonder people zinajudge kwa hako kapicha.....eti hirizi hahahah ebu nijichekee Ave mie!
Acha ungese, embu soma walichoandika kwenye t-shirt zao then utaelewa,
Hicho ni kitambaa cheusi kumuenzi mez b
hapana hujaona vizuri...ukiangalia vizuri ni saa ya mkononi imelegea mkanda hahaha