Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana hujaona vizuri...ukiangalia vizuri ni saa ya mkononi imelegea mkanda hahaha
watu walimshambulia sana Yericko janahiyo ndio asili ya mtanzania na mwafrica
nimesoma heading vibaya nilidhani ni yule nyoka makengeza aka ATM ya chama
Yaani title mimi nilisoma kama Chenge sasa kufungua thread naona picha zisizoendana na Chenge ndio kurudia kusoma: lol
Hivi tunahangaika nini kuwatafuta wauaji wa albino... ..tuanzie hapa...
Acha ungese, embu soma walichoandika kwenye t-shirt zao then utaelewa,
Hicho ni kitambaa cheusi kumuenzi mez b
Hamko peke yenu.. niliifungua haraka haraka nilifikiri ni nyoka mwenye kengeza
ndumba ni kila sehemu, hata wale wa nyuma ya keyboard wamezifunga ili kulinda ajira.
For the first impression, mimi pamoja na mtu mwingine anaweza akaisoma vibaya tittle ya thread. Nashauri mleta uzi ajaribu ku-edit uzi wake, na aanze "Msanii wa kizazi kipya Chege...............