Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Msanii Chege anaswa live na 'ndumba' jukwaani

Sasa kama anamenejiwa na Mkubwa fella na Babu tale,unategemea nini zaidi ya ndumba tu.Tanzania kwa ushirikina hatujambo
 
Hivi tunahangaika nini kuwatafuta wauaji wa albino... ..tuanzie hapa...
 
For the first impression, mimi pamoja na mtu mwingine anaweza akaisoma vibaya tittle ya thread. Nashauri mleta uzi ajaribu ku-edit uzi wake, na aanze "Msanii wa kizazi kipya Chege...............
 
Jamani hirizi hizi....angalia kwenye kwapa mstari mwekundu 1424606531261.jpg
 
Aibu sana kwa kijana mjanja kutumia uchawi kwa karne hii
 
Acha ungese, embu soma walichoandika kwenye t-shirt zao then utaelewa,
Hicho ni kitambaa cheusi kumuenzi mez b
 
Hiyo hirizi anyang'anywe ipelekwe kwa mkemia mkuu, unaweza kukuta viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi humo!! Nchi la vigagula hili!!!
 
For the first impression, mimi pamoja na mtu mwingine anaweza akaisoma vibaya tittle ya thread. Nashauri mleta uzi ajaribu ku-edit uzi wake, na aanze "Msanii wa kizazi kipya Chege...............

Au aandike CHEGE MTOTO WA MAMA SAIDI ANASWA NA NDUMBA
 
Back
Top Bottom