Hawa wandia kali, hata angela yuko vizuri sema ndo hivyoKilly anafanya vizuri sana. Ngoma zake hata sasa ni kali sana, ila tu kwasababu bado ana ngoma chache.
Killy na Anjella wako vizuri kama wakipewa muda.
Wandia ni ya Cheed.Hawa wandia kali, hata angela yuko vizuri sema ndo hivyo
Yes kweli nimechanganya... Kweli wandia ya cheed.Wandia ni ya Cheed.
Ngoma za Killy ni Roho, mwisho na Ni WEWE.
Ngoma kama ni Mwisho binafsi naiona ni kali sana.
Naomba kujua na wasanii waoDavido ana label Davido Music Worldwide (DMW) na Wizkid yake inaitwa Starboy, Burna hana label.
π€£π€£π€£π€£π€£Waondoke wote abaki mwenyewe na skales maana ni hasara tu anapata
Ivi davido na wizkid burna wana lebo kweli
Business.Heee kumbe hao waghana wapo kwa wizkid
Nimeona sio tuu hapa tu jamiiforum mpaka kwenye mitandao ya kijamii Watu wanamshambulia harmonize, nadhani kinamcost kondeboy ile interview aliyofanya airport akitoa shutuma Kali kwa Boss wake wa zamani Diamond Platnumz aliongea maneno mengi mengine yanamrudia na yanamtokea kwenye label yake ndio maana anakutana na hii dhaama ya wanazengoAisee wabongo tumejaa chuki.
Sijaona tatizo liko wapi kama mkataba umeisha kuna ubaya akienda kujitegemea?
Mbona kafanya ngoma nyingi kali akiwa konde gang...
Baby naisikiliza kila siku na naipenda sana sana
Pia Far iko good...
Lazima maisha yaendelee, tupunguze chuki na kuchonga ngenga, kama ni rahisi fungua label mpe mkataba wewe.
Ndo ana nyimbo gani huyoKiukweLi country boy alivoenda konde gang alipunguza sana makaLi yaani ilikua n tofauti na zamani alkua akitoa ngoma mji mzma unaelewa
Hakuna kitu, mshikaji mpak amefuta picha zote IG , ujue kuwa hataki kuona kumbukumbu yoyote ya kondegangAisee wabongo tumejaa chuki.
Sijaona tatizo liko wapi kama mkataba umeisha kuna ubaya akienda kujitegemea?
Mbona kafanya ngoma nyingi kali akiwa konde gang...
Baby naisikiliza kila siku na naipenda sana sana
Pia Far iko good...
Lazima maisha yaendelee, tupunguze chuki na kuchonga ngenga, kama ni rahisi fungua label mpe mkataba wewe.
Inaitwa "jamani"πππ€£πNdo ana nyimbo gani huyo
Hakuna kitu, mshikaji mpak amefuta picha zote IG , ujue kuwa hataki kuona kumbukumbu yoyote ya kondegang
Inaonekana kaondoka vibaya ingawa konde myuzik for everibade wanajaribu kuficha hiki sababu Kitaamchafua njomba chumali sababu alipaka mbaya kwa diamond
Tutasikia mengi wanaanzaga hivi hivi.Inavyosemekana mkataba haukuisha, umevunjwa kwa lazima na Konde gengi walikuwa wanataka fidia ila wakayamaliza baada ya jamaa fulani anayeheshimika mjini kuingilia kati, record label ni biashara ya kibepari
Tutasikia mengi wanaanzaga hivi hivi.
View attachment 2077862