Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Country boy kwa upande wangu niliona toka ajiunge na konde gang alishuka. Kuna kipindi nilianza kuona kama mziki wake ulikuwa una take off, zile ngoma za vijana kama kibegi, wanaona haya na ngoma zake nyingine za trap zilifanya poa sana.
Ila ghafla mambo yakawa ovyo.
Bado

Baby.

Hizi ngoma kazitoa akiwa konde gang na ni kali sana pia.
 
Jamaa anaenda kondegang mpaka anatoka mi sijui

Au aliingia jana na kutoka jana hiyo hiyo nini?
 
Chawa wa madale nategemea wawe wengi hapa kumwaga pumba.
 
Hapa angekuwa Sadala hii thread ingekuwa inakimbilia page ya 10,watu wangeanza kutunga yao "........mara jamaa ana roho mbaya......kila siku anataka kuwa yy.........hawapi madogo nafasi........Sallam huyo ana roho mbaya.........".

Kumanage label inahitaji kujitoa na hata kujinyima mwenyewe, ndicho alichofanikiwa Sadala, yupo tayari kuahirisha au kusitisha projects zake ili ampromoti msanii wake. Sasa Harmonize miaka miwili kaachia nyimbo nyingi nje ya album zake mbili na zote zina hitaji promo, bado wasanii wake nao anatakiwa awapigie promo mwisho wa siku wasanii wanaona kama wanatengwa.

Ila nawaonea huruma Cheed na Killy, bora tu wangebaki Kings au wangekuwa wao wenyewe, ila wakitoka watakuwa na hali mbaya. Sijui Country kama amaetoka vizuri au vibaya. Kama vibaya tusubirie tu nae atoe siri za kambi ambazo zinaweza kuwa kweli au uwongo wenye nchumvi na pilipili juu.
CHEED na KILLY acha Dunia iwafunze...MKATAA PEMA.........
 
Bangi hazijawahi kumuacha mtu salama.
 
Back
Top Bottom