Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Kondeboi kuwasimamia hao machalii si kazi ndgo aisee.

Maana yeye mwenyewe kila leo ana project mpya na yeye ndo mkubwa pale inabidi awapromote madg lakini yeye pia ajipromote. Hapo ni kazi kidgo kwa machalii kusurvive.
 
Yani mchizi alikua na mkataba wa mwaka tuuu!!??
Kasainiwa sept 2020 tu hapo.
 
Sasa hivi anavuta sana bange napombe. Muda mwingi yuko weak sana na hana bidii ya kazi.

In short, sioni kama anafanya jitihada zozote
Country au Harmo...
.
 
Country mimi namwonaga kama anakuwaga high kila muda yani toka kitambo. Uwa namuona kama anaishi kwenye illusion kuwa yuko Marekani muda wote
Mfano, kwa huo wimbo aliotoa juzi wewe unamuona ni mtu mwenye juhudi zozote?
 
Label kila siku boss anaachia ngoma yeye tu[emoji28][emoji28]aki kuachia gape ni wiki moja tu afu ana toa ngoma linakufunika
 
Back
Top Bottom