Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang

Country mimi namwonaga kama anakuwaga high kila muda yani toka kitambo. Uwa namuona kama anaishi kwenye illusion kuwa yuko Marekani muda wote
Mtazamo wako upo sahihi kabisa.Tatizo la country boy ni kujiona Kendrick Lamar wakati kimziki bado ana safari ndefu sn
Arudi ajipange upya maana kipaji anacho

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Label kila siku boss anaachia ngoma yeye tu[emoji28][emoji28]aki kuachia gape ni wiki moja tu afu ana toa ngoma linakufunika
Atafanyaje na hana vyanzo vya mapato mengi ule mgahawa sijui umeishia wapi na konde fm

Badala hawapromote apate commision zake ila yeye daily kwenye luninga ngoma mpya😂😂😂
Harmonize ukubwa wake umetokana na diamond tu ila anataka kumuovertake ndoa ngumu sana
 
Back
Top Bottom