Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Eti ana unyama mwingi sana kwani amekuwa mwaisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoCountry boy kwa upande wangu niliona toka ajiunge na konde gang alishuka. Kuna kipindi nilianza kuona kama mziki wake ulikuwa una take off, zile ngoma za vijana kama kibegi, wanaona haya na ngoma zake nyingine za trap zilifanya poa sana.
Ila ghafla mambo yakawa ovyo.
Kwani wanataka kuchora??Hapo kwa Chidy na kill awakazie walipe mbwa hao wasiojitambua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Everbade au shidooo shidooo[emoji23][emoji23]
Duuuuh kumbe sio poa au karidhika tyrSasa hivi anavuta sana bange napombe. Muda mwingi yuko weak sana na hana bidii ya kazi.
In short, sioni kama anafanya jitihada zozote
Killy hana nyota ila msanii mzuri. Hata kabla ya kujiunga kings ana wimbo flani video ilitengenezwa an nisher mkali lakini haukuwikaCheed na Killy bora wangebaki Kings tu watembelee upepo wa Kiba [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasubiri sanaChawa wa madale nategemea wawe wengi hapa kumwaga pumba.
CHEED na KILLY acha Dunia iwafunze...MKATAA PEMA.........Hapa angekuwa Sadala hii thread ingekuwa inakimbilia page ya 10,watu wangeanza kutunga yao "........mara jamaa ana roho mbaya......kila siku anataka kuwa yy.........hawapi madogo nafasi........Sallam huyo ana roho mbaya.........".
Kumanage label inahitaji kujitoa na hata kujinyima mwenyewe, ndicho alichofanikiwa Sadala, yupo tayari kuahirisha au kusitisha projects zake ili ampromoti msanii wake. Sasa Harmonize miaka miwili kaachia nyimbo nyingi nje ya album zake mbili na zote zina hitaji promo, bado wasanii wake nao anatakiwa awapigie promo mwisho wa siku wasanii wanaona kama wanatengwa.
Ila nawaonea huruma Cheed na Killy, bora tu wangebaki Kings au wangekuwa wao wenyewe, ila wakitoka watakuwa na hali mbaya. Sijui Country kama amaetoka vizuri au vibaya. Kama vibaya tusubirie tu nae atoe siri za kambi ambazo zinaweza kuwa kweli au uwongo wenye nchumvi na pilipili juu.
Walivyokua kwa kiba walifanya ngoma kali zilizowatambulisha vizuri kama masozy, rhumba, toto.. lakini toka wameenda kwa konde mjeshi ngoma zao haziendi.CHEED na KILLY acha Dunia iwafunze...MKATAA PEMA.........
What a joke?Hii music label itakuja kuwa msaada mkubwa sana kwa wasanii duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Shidowa noo baleeeee!!! Hv samahani wakuu. Ile "konde myuzik bowaaaii" nini maana yake[emoji23][emoji445]Everbade au shidooo shidooo[emoji23][emoji23]