Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Apr 5, 2024 #21 uhurumoja said: Asa kama watu wamewapiga watu kwa kula na kuwafungulia mashtaka ya bangi unadhani wataacha kukasirika ukisoma bible Click to expand... Hawa waislamu ni shida sana
uhurumoja said: Asa kama watu wamewapiga watu kwa kula na kuwafungulia mashtaka ya bangi unadhani wataacha kukasirika ukisoma bible Click to expand... Hawa waislamu ni shida sana
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Apr 5, 2024 #22 Waliowaletea hizo biblia wenyewe siku hizi hata hawana makanisa, nyinyi bado mnataka kuuwana wenyewe kwa wenyewe. Miafrika ndio tulivyo.
Waliowaletea hizo biblia wenyewe siku hizi hata hawana makanisa, nyinyi bado mnataka kuuwana wenyewe kwa wenyewe. Miafrika ndio tulivyo.
Kyodowe JF-Expert Member Joined Mar 6, 2013 Posts 1,236 Reaction score 1,368 Apr 5, 2024 #23 Wagalatia wa bongo au wa Ugiriki dos.2020 said: Wagalatia kwanini munateseka na uislamu? Click to expand...
Wagalatia wa bongo au wa Ugiriki dos.2020 said: Wagalatia kwanini munateseka na uislamu? Click to expand...
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Apr 7, 2024 #24 Proved said: Keep on reading the Bible Mr. Platinum. Click to expand... Na hiyo ndio itamfaa maana hadi video anaigiza kanisani, sidhani kama kuna msikiti watamruhusu afanye huo upuuzi
Proved said: Keep on reading the Bible Mr. Platinum. Click to expand... Na hiyo ndio itamfaa maana hadi video anaigiza kanisani, sidhani kama kuna msikiti watamruhusu afanye huo upuuzi