NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Hana maarifa ya kijamii mpotezee.Diamond anafuatiliwa na watu wengi, hasa vijana wadogo, sasa utasemaje tusimfuatilie pale anapopotosha vijana?! Wewe ndio chokoo
Huwa wanafanya ndo tabia zao.Mwisho wake watataka kufanya kila anachofanya mwanamke
Yaan hapana kwa kweliKuna vitu Hadi nakufa siwezi fanya Hadi naingia chini kusuka, tatoo, kutoboa pua skio[emoji119][emoji706]
Kaka ficha ujinga wake kabla ya kuandika fuatilia kwanza ujue, yaani ulinganishe CB na msanii wa kibongoUnajua nini, usimfananishe Mondi na Brown, Mondi yuko juu sana kwa hapa Africa, Brown alikuwa juu zamani kwa US, so si chochote kwa Mondi. Ila huku kutoboa pua ni kutupiga na kitu kizito
Hao vijana wasio na akili za kujua lipi linawafaa na lipi haliwafai yaani kila lifanywalo na celebrities wanaiga tu hao na walezi wao ndiyo wanapaswa kuitwa machoko, tulee watoto kwa principles na tuhakikishe wanazifuata principles tunazowafundisha.Diamond anafuatiliwa na watu wengi, hasa vijana wadogo, sasa utasemaje tusimfuatilie pale anapopotosha vijana?! Wewe ndio chokoo
Halafu unakuta ndio role model wa mtoto wako!Ni maisha yake, mwache aishi anavyotaka.
Kuchoma moto pesa ni criminal offense lakini kutoboa pua si kosa kisheria, umelinganisha vitu pasina kutumia akili.Kanye magogoni utumie uhuru wako vizuri,hata pesa ni zako choma moto hadharani uone nini kitakachokutokea.
Hamisa hajawahi kuwa girlfriend wa Sadala, alikuwa mchepuko tu wakati Sadala akiwa na Zari. Hakupaswa kuwepo kwenye mfano wako.Tukana humu kwa kujifanya unaakili wewe ndio teja mkubwa maana unapanic ukweli kwa zari alikuwa anajitambua , kwa tanasha hata hamisa ila kwa zuchu anazima kabisa hapo kuna kitu unajidai wivu .
Tuseme ukweli tu daimond ni mtu wakuwa naye hapana kwakweli sio type yangu mi hunijui mie sio nadandia tu watu nope .
Kuna maclass fulani ndio hobbies zetu sio daimond ni jina tu ila hajui mengi hana class hata aweje hata awe billionea hana class kiufupi hujui mwanaume wakuoa ni yupi na wakumtumia ila daimond hata wakutumiwa na mtu kama mimi ni hapana .
Hata aniongee kiasi gani
Mimi sikubase zaidi kwenye makosa bali mantiki yangu ilikuwa uhuru wowote ule una mipaka na sio sawa mtu kusema hiki kitu changu nina uwezo wa kukifanyia lolote.Kuchoma moto pesa ni criminal offense lakini kutoboa pua si kosa kisheria, umelinganisha vitu pasina kutumia akili.
Uhuru wa kutoboa pua(japo sipendezewi mwanamme kutoboa pua au kutoboa masikio) si kuvuka mipaka ndiyo maana wanaofanya hivyo hawachukuliwi hatua za kisheria.Mimi sikubase zaidi kwenye makosa bali mantiki yangu ilikuwa uhuru wowote ule una mipaka na sio sawa mtu kusema hiki kitu changu nina uwezo wa kukifanyia lolote.
Nani amekwambia nina mtoto? Kwa nini watanzania tumekuwa wajinga kiasi hiki?!Halafu unakuta ndio role model wa mtoto wako!
Kwa wewe unavyotafsiri na inategemeana na sehemu mfano baadhi ya nchi suala ushoga mtu hajavuka mipaka lakini sehemu nyingine ni marufuku na ni kosa kubwa.Uhuru wa kutoboa pua(japo sipendezewi mwanamme kutoboa pua au kutoboa masikio) si kuvuka mipaka ndiyo maana wanaofanya hivyo hawachukuliwi hatua za kisheria.
Yoyote yule anayetaka kujitoboa popote bila kuhatarisha uhai wake anao uhuru huo kwa asilimia mia moja.
Unamiaka mingapiHamisa hajawahi kuwa girlfriend wa Sadala, alikuwa mchepuko tu wakati Sadala akiwa na Zari. Hakupaswa kuwepo kwenye mfano wako.
mkuu sasa kwanini usiandike "I think you are going through a difficult time" ?...hyo broken uloandika hapo haifai, uliza hata mtu jiran hapo...and yes me najua kingereza kuliko wewe , we go through a difficult time sio in difficult time, google what you wrote and see if it makes sense...mkuu mbona padogo sana hapo alafu panakuchengua ?Wewe unafahamu kingereza
Hiyo some difficulties unaona inaleta maana ??
I guess you going through in difficult moment
"Nadhani unapitia wakati Mgumu"
Aisee,Hebu jisome mara 2Nani amekwambia nina mtoto? Kwa nini watanzania tumekuwa wajinga kiasi hiki?!