Msanii Diamond atoboa pua

Msanii Diamond atoboa pua

Unajua nini, usimfananishe Mondi na Brown, Momdi yuko juu sana kwa hapa Africa, Brown alikuwa juu zamani kwa US, so si chochote kwa Mondi. Ila huku kutoboa pua ni kutupiga na kitu kizito
hapo kwenye cb na mondi nakupinga mkuu cb ni next level world wide usije ukasema cb si kitu kwa mondi aloooo umechanganyikiwa? mtu mwenye rekodi nzuri ya mziki mtu mwenye biashara new york aloooo kaka mbingu na ardhi si sawa
 
Maybe jamaa na yeye anatafta kufanana na Chrus Brown ili na yeye apate hata collabo nae.
Maana kina Wizkid na Davido wote wametoa ngoma na CB, so chalii na yeye anatafta kufanana nae ili at least na yeye aonekane
Kufanya kolabo CB si kipimo cha kutoboa.
 
Mimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja

Wazazi was sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo choko Kama una akili timamu !
Kosa,kubwa kutuhusu mtoto wako aanze kuwafatilia wasanii kama hawa

Ova
 
2pac unamjua mzee wa dear Mama national Anthem ya dunia
Alitoboa pua

Kila mtu ana Uhuru wa mwili wake kufatilia Maisha ya Wanaume wenzio Ni dalili za uchokoo

Sifatilii mziki wa Tz hila sipendi. Mambo za kufatilia watu naamini Ni tabia za kike za watu waliokata tamaa mashoga nk

IMG_1491.jpg

umepanick kiongozi,japo ni kweli kwa kazi na wasifu wake diamond hayo ni mambo ya kawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom