DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hawamjui huyo JamaaMkuu unaishi wapi hadi ujiaminishe hawazijui nyimbo zake
Mimi wanangu sio waswahili Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawamjui huyo JamaaMkuu unaishi wapi hadi ujiaminishe hawazijui nyimbo zake
Kama anatumia mungu amrehemu..Huyo jamaa kuna video moja nilionaga humu juzi kati akiwa Kongo ameshuka kwenye gari anatembea kama teja. Anaonekana kashazidiwa na mihadarati, soon atapotea kijana huyo.
hapo kwenye cb na mondi nakupinga mkuu cb ni next level world wide usije ukasema cb si kitu kwa mondi aloooo umechanganyikiwa? mtu mwenye rekodi nzuri ya mziki mtu mwenye biashara new york aloooo kaka mbingu na ardhi si sawaUnajua nini, usimfananishe Mondi na Brown, Momdi yuko juu sana kwa hapa Africa, Brown alikuwa juu zamani kwa US, so si chochote kwa Mondi. Ila huku kutoboa pua ni kutupiga na kitu kizito
Kama anatumia mungu amrehemu..
Kufanya kolabo CB si kipimo cha kutoboa.Maybe jamaa na yeye anatafta kufanana na Chrus Brown ili na yeye apate hata collabo nae.
Maana kina Wizkid na Davido wote wametoa ngoma na CB, so chalii na yeye anatafta kufanana nae ili at least na yeye aonekane
KAMA NANI KATOBOA?Hivi hii video hapo chini ni ya kweli au ni photoshop?
Soon machawa wake watatoboa pua naoDadamondi ndio jina lake jipya, atapotosha watoto wengi mitaani waanze kutoboa pua, mwisho wa siku kinachofuata ni kupakuliwa
Kosa,kubwa kutuhusu mtoto wako aanze kuwafatilia wasanii kama hawaMimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja
Wazazi was sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo choko Kama una akili timamu !
sinza pazuri njoo huku utetee kitumbua chako kinaingizwa mchanga.
Photoshop kwenye video?
2pac unamjua mzee wa dear Mama national Anthem ya dunia
Alitoboa pua
Kila mtu ana Uhuru wa mwili wake kufatilia Maisha ya Wanaume wenzio Ni dalili za uchokoo
Sifatilii mziki wa Tz hila sipendi. Mambo za kufatilia watu naamini Ni tabia za kike za watu waliokata tamaa mashoga nk