Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabuView attachment 953081
Kama mafanikio haya ni kwa nguvu ya Mungu tu nampongeza sana na kumuombea afanikiwe zaidi maana kwake tunaona uhalisia wa ule msemo wa wanyamwezi usemao:Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabuView attachment 953081
Hahahahaaa Hongera Sana kwa kununua Jet,Hongera tena kwa kununua Nyumba South Africa,Hongera sana kununua Jumba juzi juzi la Bilioni 2 DSM.Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabuView attachment 953081
Weee ALI KIBA, mbona umekasirika hivyo?Acheni kukuza vitu,hiyo ndege imekodishwa inatumika kwenye matangazo ya Show ya Wasafi Kenya basi.Sehemu gani wameandika hivyo,mbona mnalisha maneno ambayo yeye mwenyewe hajayatamka,
Nikasirike wapi ndugu wakati mimi mwenyewe nafuatilia hiyo show na najua hiyo ndege imekodishwa ,hebu tuwe wakweli hata kama unampenda Mondi ila hiyo ndege imekodishwa au inamaana ile coster inayobeba wasanii katika mikoa inapofanyikia Wasafi Festifal nayo ni ya Mondi?.(Wabongo wape picha ila habari watamalizia wenyewe)Weee ALI KIBA, mbona umekasirika hivyo?
Dawa yake na wewe ununue zaidi ya hiyo!
Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabuView attachment 953081
Hapa ndo naelewa uwezo wa matumizi ya akili za wabongo na uwezo wao waku changanua mambo
Pitia comment za wadau hapo juu ndo utaelewa mkuuMatumizi mabaya ya Akili!