Msanii Diamond Platnumz anunua private jet

Msanii Diamond Platnumz anunua private jet

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabu
diamondplatnumz___Bq4GfFvFCZJ___.jpg
 
Duu huyu jamaaa kadri siku zinavyozidi kwenda ndo anazidi kufanya maajabuView attachment 953081
Kama mafanikio haya ni kwa nguvu ya Mungu tu nampongeza sana na kumuombea afanikiwe zaidi maana kwake tunaona uhalisia wa ule msemo wa wanyamwezi usemao:
".....FROM ZERO TO A HERO.....".
Maana ndani ya miaka 10 tu iliyopita mafanikio aliyofikia, na kwa umri wake, si ya kitoto......
 
Hata akanunua ni sawa tu,vidole havilingani
Ila wavimba macho huwa ni wengi duniani.
 
Weee ALI KIBA, mbona umekasirika hivyo?
Dawa yake na wewe ununue zaidi ya hiyo!
Nikasirike wapi ndugu wakati mimi mwenyewe nafuatilia hiyo show na najua hiyo ndege imekodishwa ,hebu tuwe wakweli hata kama unampenda Mondi ila hiyo ndege imekodishwa au inamaana ile coster inayobeba wasanii katika mikoa inapofanyikia Wasafi Festifal nayo ni ya Mondi?.(Wabongo wape picha ila habari watamalizia wenyewe)
 
Umeanzisha post nzuri ila umeongeza chumvi, Diamond kapost tu Hio ndege ila hakuna mahali kaandika kainunua ama kaikodisha
 
Back
Top Bottom