Tetesi: Msanii Diamond Platnumz (Dangote) aumbuka Kenya:

Wazungu wenyewe hawajui kiingereza sasa ngozi ya Giza nayo ya kucheka hilo? Pia wajue Diamond ametoka wapi anaenda wapi, Diamond siyo kwamba anajua kiingereza La Hasha!! Yupo kwenye kujifunza lugha. Kwa hiyo makosa anayoyafanya ni mapungufu katika kuendelea kuifahamu Lugha. Ila kuna chembe ya wenye njaaa kumuonea kijicho........KODO
 
Mbona watu wanaandika kiswahili kibovu kwenye R wanaweka L na kwenye K wanaweka R pia kwenye A wanaweka H na kwenye H wanaweka A

Sembuse kiingereza

Namshauri domo amtafute huyu prof ,ndani ya wiki 3 atakuwa fundi

 
Ndio anaanza huyo ... Mr. Nice alianza hivihivi kupotea kwenye ramani ...

Dogo achana na siasa uchwara za Bongo zitakutia madoa madogodogo mpaka litakua doa kubwa ... achana na siasa ni mchezo wa waerevu wanao lazimisha wajinga kuucheza kwa maslahi yao ...
 
Mbona watu wanaandika kiswahili kibovu kwenye R wanaweka L na kwenye K wanaweka R pia kwenye A wanaweka H na kwenye H wanaweka A

Sembuse kiingereza

Namshauri domo amtafute huyu prof ,ndani ya wiki 3 atakuwa fundi

Am I the only one who inspired by PLO Lumumba's English?
 
Mbona insta anaandika vizuri?
 
kiingereza ni muhimu kwa mawasiliano .lkn, kumsema mbongo kuhusu kingereza kibaya sio vzr.tunajua shule tulizosoma wengi wetu hasa huyo diamond......tumekuwa watumwa wa fikra kupita kiasi
 
lkwani kiingereza
kwani kiingereza ni lugha yake ya taifa???nachodhani sio lazima ajue kiingereza
 
Nimeona wazungu wengi wakikosea kiswahili, ila hatusemi wameumbuka. Mm sipo kwenye hizo timu zenu, ila nimegundua utumwa hautaisha ktk vichwa vya baadhi ya watu.
 
Sasa wewe kinachokuuma nini?? Mbona wakati anakomaa kukijua haukuwepo kumweleza kipi sahihi na kipi si sahihi. Cause Dangote kwenye kingeleza hakuo yupo vizuri tangu enzi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…