babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Usiumize kichwa mkuu. Anaweza kuwa huyo ni Zabibu Kiba unabishana naye. Hatakuelewa.Basi diamond maskini wa kufa mtu hata nguo yakubadilisha Hana vipi umeridhika?
Mondi analipa kodi ya zaidi ya milioni 40. Yeye anasema 10m.
Sent using Jamii Forums mobile app