Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Comment ya kitoto hii
Na ww uko kama mie naeona angetuma tu child support hata kama wana ugomvi? Mi naona angetuma tu kwenye account ingemfanya atulie kiakili kuliko kusaidia wa2 asiowajua !!!
 
Wewe ndio mpuuzi KUBWA zima unanunuliwa simu na DOMO na kuwekewa BANDO kuja kumtetea DOMO humu mitandaoni,ukitoa sadaka hautakiwi kutangaza,kama anataka kutoa sadaka aende REPOA au TASAF atapewa takwimu na contacts za masikini katika kila eneo!!

Tokea page ya 7 mpaka 12 ,unamcriticize Diamond au nawe umenunuliwa simu na bando kwa ajili ya kumpinga Diamond.

Na kwa jinsi inavyoonekana utaenda mpaka mwisho wa page zote za huu uzi.
 
Kweli ni mambo yao hayo.
Ila kupeleka watoto kanisani kwani kabadili dini mganda yule? Si mwislam wa kuzaliwa yule?
Zari Ni muislamu ila alifanya kwasababu ya mwanaume aliyekuwa anadate nae baada ya diamond alikuwa Ni mkristo.
 
Na ww uko kama mie naeona angetuma tu child support hata kama wana ugomvi? Mi naona angetuma tu kwenye account ingemfanya atulie kiakili kuliko kusaidia wa2 asiowajua !!!
Atatumaje huo msaada ikiwa watoto wanakaa na mama yao na mama yao ndio anatoa direction yote
 
Mama ndio mwenye kutoa direction ya watoto wakiwa wadogo.
Diamond kawanunulia watoto nyumba kabisa south atashindwaje watoto kuwalea Cha msingi zari ujeuri wake auweke pembeni ashirikiane na diamond aone Kama diamond atatoa huduma
 
Hayo ni makadirio ya mapato ya bwana Mondi huko youtube! Kuniaminisha kwamba dogo hana hela linazidi kuwa jambo gumu kadri siku zinavyoenda.
View attachment 1431060
Mkuu umejaribu hata kuziconvert hizo amount? And zinaingia ACC gani ya Bank? Acha ubishi wa kiboya basi. Mil 5, 6, 7 per month ni amount ndogo yy kuweza kujifanya ana pesa ndefu. Ndio maana nimekuambia kuwa hana pesa kama akili yako inavyotaka kuamini.
Kama KAMPUNI TU WASAFI INALIPA KODI 10M kwa mwaka basi ni kampuni ya kawaida na ambayo Profit yake p.a iko below 45M afu hapo bado haijamfikia as Shareholder. Yeye anapokea mshahara pamoja na mama yake as directors. HANA PESA HIVYO KAMA AKILI YAKO INALAZIMISHA KUAMINI.
HATUOMBEI MABAYA KWAKE ILA KIFO CHAKE KINGEKUONESHA JINSI GANI ALIVYO MTU WA KAWAIDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond kawanunulia watoto nyumba kabisa south atashindwaje watoto kuwalea Cha msingi zari ujeuri wake auweke pembeni ashirikiane na diamond aone Kama diamond atatoa huduma

Haya tusubiri tuone na kwa mkenya nini kitaendelea. Maana muda tunao na mb tunazo !!!
 
SEMA Hawa wanawake wanapenda Kiki Sana hivi kulikuwa na haja gani wewe kuzungumzia mambo yako ndani ya familia public kwahiyo kusema kwake public ndo kutamsaidia.
 
Mkuu umejaribu hata kuziconvert hizo amount? And zinaingia ACC gani ya Bank? Acha ubishi wa kiboya basi. Mil 5, 6, 7 per month ni amount ndogo yy kuweza kujifanya ana pesa ndefu. Ndio maana nimekuambia kuwa hana pesa kama akili yako inavyotaka kuamini.
Kama KAMPUNI TU WASAFI INALIPA KODI 10M kwa mwaka basi ni kampuni ya kawaida na ambayo Profit yake p.a iko below 45M afu hapo bado haijamfikia as Shareholder. Yeye anapokea mshahara pamoja na mama yake as directors. HANA PESA HIVYO KAMA AKILI YAKO INALAZIMISHA KUAMINI.
HATUOMBEI MABAYA KWAKE ILA KIFO CHAKE KINGEKUONESHA JINSI GANI ALIVYO MTU WA KAWAIDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi diamond maskini wa kufa mtu hata nguo yakubadilisha Hana vipi umeridhika?
 
SEMA Hawa wanawake wanapenda Kiki Sana hivi kulikuwa na haja gani wewe kuzungumzia mambo yako ndani ya familia public kwahiyo kusema kwake public ndo kutamsaidia.
Wanae watakuja soma movie yote mitandaoni wakiwa wakubwa. Na wao wataamua yupi alikuwa sawa yupi boya !!!
 
Mkuu umejaribu hata kuziconvert hizo amount? And zinaingia ACC gani ya Bank? Acha ubishi wa kiboya basi. Mil 5, 6, 7 per month ni amount ndogo yy kuweza kujifanya ana pesa ndefu. Ndio maana nimekuambia kuwa hana pesa kama akili yako inavyotaka kuamini.
Kama KAMPUNI TU WASAFI INALIPA KODI 10M kwa mwaka basi ni kampuni ya kawaida na ambayo Profit yake p.a iko below 45M afu hapo bado haijamfikia as Shareholder. Yeye anapokea mshahara pamoja na mama yake as directors. HANA PESA HIVYO KAMA AKILI YAKO INALAZIMISHA KUAMINI.
HATUOMBEI MABAYA KWAKE ILA KIFO CHAKE KINGEKUONESHA JINSI GANI ALIVYO MTU WA KAWAIDA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesubiria data ulisema utaziweka tupate kuacha hizi story za vijiweni lkn mpaka sasa una invent theory na maneno matupu.

Kwa mujibu wa account ya twitter ya swahili times Diamond platnum kwa January mpaka March ,kila mwezi ana views mil 38-mil 40.

Kwa mujibu wa AT wakati akihojiwa na Millard Ayo na kwa sababu naye ana account Youtube,alisema kwa wastani views million moja unalipwa $600,manake Diamond kwa wastani hakosi milioni 35-40 kwa mwezi.

EPs-iKgXUAARN64.jpg

2348073_87329260_253378362328091_2467989974146350649_n.jpg
 
Ndio madhara ya kukimbia shule haya mkidhani bangi za chooni na ununda una mafanikio kuliko elimu, Kama unadhani elimu ni gharama jaribu upumbavu ambao una gharama mno ya kukufanya uonekane mbumbumbu kama hizi kauli unazotoa zinazokufanya uonekane haupo sawa kichwani,- hivi unaijua adjustment ya charities na donations kama anazofanya kijana kulingana na sheria zetu za nchi??? Unajua adjustment yake kwenye financial statements?? Unajua itakuwa adjusted kwenye financial statement ipi?? Hivi unaijua hata financial statement??asipofanya alichofanya unajua kitamuathiri vipi kulingana na sheria za money laundering?? Hivi unajua kwanini Marehemu mzee Mengi alikuwa hatoi misaada kimyakimya licha ya kuwa mzee mstaarabu sana,

Kama hujui, rudi shuleni, sio lazima kuja huku kuponda juhudi za kijana
Kweli wewe zero brain yaani unamfananisha Late mengi na huyo boya boss wenu anayewanunulia tecno na bando? Kifungu gani cha sheria au bylaws kinachokataza watu kutoa misaada kimya kimya kwa kuogopa money laundering? Yaani kutoa mil 22 za kodi ndio maney laundering? Hivi unajua kutakatisha fedha ni nini? Kutoa misaada ndio kutakatisha fedha?
 
Tokea page ya 7 mpaka 12 ,unamcriticize Diamond au nawe umenunuliwa simu na bando kwa ajili ya kumpinga Diamond.

Na kwa jinsi inavyoonekana utaenda mpaka mwisho wa page zote za huu uzi.
Sijamcritize sehemu yeyote DOMO nimesema tu kwamba "MABUMUNDA" na "MAUGORO" kama nyinyi mkiona hivyo mnaweza kudhani DOMO ametoa Bilioni 2 au 4 kulipia watu kodi kumbe ni milioni 22 tu hadi 30 😀 😀 😀 kwa kuwalipia kodi ya chumba kimoja watu wa tandale kwa tumbo ,bibi nyau au kwa mtogole.
 
Page 13 bado upo,ila mwenzetu ww bando lako unalopewa la elfu 10 ,kila thread ya Diamond upo.Unapata tabu ,je wewe hapo ulipo umewalipia wangapi?

🤣🤣
 
Page 13 bado upo,ila mwenzetu ww bando lako unalopewa la elfu 10 ,kila thread ya Diamond upo.Unapata tabu wewe hapo ulipo umewalipia wangapi?

🤣🤣
Nishajibu hilo swali lako la kuwalipia wangapi mkuu!! Domondi akifanya mazuri tunasema na akifanya MAUTOMBO na MAUGORO tunamsema pia!! Charity begins at home mkuu hata mie siwezi kuanza kusaidia nje wakati ndugu zangu hata ndala za kuvaa kuendea chooni hawana ,kwanza lazima nihakikishe familia ipo vizuri ndio ninaweza kutoa hata nje!!
 
Kweli wewe zero brain yaani unamfananisha Late mengi na huyo boya boss wenu anayewanunulia tecno na bando? Kifungu gani cha sheria au bylaws kinachokataza watu kutoa misaada kimya kimya kwa kuogopa money laundering? Yaani kutoa mil 22 za kodi ndio maney laundering? Hivi unajua kutakatisha fedha ni nini? Kutoa misaada ndio kutakatisha fedha?
Nilidhani we mshamba ila ni mjinnga, ama kweli utoto ni tabia ukubwa ni umri, utu uzima haufikiwi kwa namba za umri, Siwezi kuingia kugombana na nguruwe kwenye banda lake maana wote tutachafuka matope ingawaje yeye ataona kawaida, Dawa ya mjinga ni kukaa kimya tu na hicho ndicho kim=namfaa mjinga kama wewe ambae anahitimu mafunzo ya kuwanga.
 
Back
Top Bottom