Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Huo mtonyo hana wa kulipia watu USD
Hahaha kama yupo serious aende kuwalipia watu wa masaki/obay waliopanga appartment za usd 3000 kwa mwezi ambapo kwa miezi mitatu ni usd 9000 kisha azidishe familia 500 na exchange rate ya 2300

AMount = 9000 x 500 x 2300 = 10,350,000,000 Tsh
 
Haijawai kuniumiza na haitokuja kuniumiza mkuu kwani DOMO akiwa bilionea au matonya kwangu haipunguzi wala haizidishi chochote kwenye account yangu.

Hapa tunatoa maoni tu kwamba kutoa msaada na kujimwambafy kidini haikubaliki.
Kama kweli umetoa maoni yako kwa kuzingatia habari ya dini, basi inatakiwa umshauri aachane na aina ya muziki anaofanya.
Kulingana na imani ya dini, aina ya muziki anaofanya Diamond ni haramu.
Kwahiyo kumshauri atoe msaada kimyakimya kwa pesa ambayo inatokana na kazi zinazopingwa na hiyo dini unayoiamini ni unafiki kama unafiki mwingine tu.
 
Yeye aliyejimwambafy ndio akawalipie,ukitaka kutoa misaada haitakiwi makamera kibao kuandika insta etc atoe kimya kimya mkuu!! mimi nasaidia indirect kipato kidogo nachopata nagawana na wenzangu kwa kuwapa kazi ndogo ndogo ambazo wanapata hela na inawezesha kusaidia familia zao!!
Jiuongeze basi unakuwa na tabia za kitoto mkuu, Katumia teknolojia tangazo liwafikie wengi, Mimi binafsi baada ya kuona tangazo hili nimempigia simu mshkaji wangu ambae ni maskini hana hata simu ya kupata huu ujumbe, Angetoa kimya kimya ambao gawana smartphones wangejuaje????

UTOTO NI TABIA UMRI NI NAMBA TU, KUWA MTU MZIMA!!
 
Kama kweli umetoa maoni yako kwa kuzingatia habari ya dini, basi inatakiwa umshauri aachane na aina ya muziki anaofanya.
Kulingana na imani ya dini, aina ya muziki anaofanya Diamond ni haramu.
Kwahiyo kumshauri atoe msaada kimyakimya kwa pesa ambayo inatokana na kazi zinazopingwa na hiyo dini unayoiamini ni unafiki kama unafiki mwingine tu.
Sasa ulitaka aimbe kaswida au? Hebu tujifunze hata kwa mzee Yusuph basi 🤣🤣🤣
 
Umemjibu vizuri asipoelewe aende hospital akacheck afya ya ubongo wake.
 
By the way analenga masikini wasiojiweza mtu una kaa masaki $2000 kwa mwezi,sidhani kama anataka msaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anayekaa Masaki hatakiwi hata kufikiriwa. Kihalisia mtu hawezi ishi kule kama ana kipato cha kuunga unga. Unless otherwise wale bongo movie wanaolipiwa kodi na Wakulungwa na ndio utakuwa muda wao wa kurudi Tandale kwa Tumbo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa ulitaka aimbe kaswida au? Hebu tujifunze hata kwa mzee Yusuph basi 🤣🤣🤣
Kwa upande wangu aishi anavyopenda, wala sijali.
Hapo nilikuwa namwambia jamaa aliyedai kuwa Diamond anakosea kutangaza misaada yake kwasababu haifai kidini.
Ndio mimi nimemuambia amshauri aache muziki kabisa, coz tukija kwenye dini hata muziki ni haramu pia.
Nadhani hapo utakuwa umenielewa mkongwe.
 
Hapo tuko barabara kabisa.
 
Kama kweli umetoa maoni yako kwa kuzingatia habari ya dini, basi inatakiwa umshauri aachane na aina ya muziki anaofanya.
Kulingana na imani ya dini, aina ya muziki anaofanya Diamond ni haramu.
Kwahiyo kumshauri atoe msaada kimyakimya kwa pesa ambayo inatokana na kazi zinazopingwa na hiyo dini unayoiamini ni unafiki kama unafiki mwingine tu.
Anzisha hiyo mada ya muziki wa DOMO tutatoa maoni ila hapa tunatoa maoni ya DOMO kulipia familia 500 kodi ya miezi mitatu.
 
Mambo ni mengi na muda upo.

20200426_153615.jpg
 
Jiuongeze basi unakuwa na tabia za kitoto mkuu, Katumia teknolojia tangazo liwafikie wengi, Mimi binafsi baada ya kuona tangazo hili nimempigia simu mshkaji wangu ambae ni maskini hana hata simu ya kupata huu ujumbe, Angetoa kimya kimya ambao gawana smartphones wangejuaje????

UTOTO NI TABIA UMRI NI NAMBA TU, KUWA MTU MZIMA!!
Wewe ndio mpuuzi KUBWA zima unanunuliwa simu na DOMO na kuwekewa BANDO kuja kumtetea DOMO humu mitandaoni,ukitoa sadaka hautakiwi kutangaza,kama anataka kutoa sadaka aende REPOA au TASAF atapewa takwimu na contacts za masikini katika kila eneo!!
 
Anzisha hiyo mada ya muziki wa DOMO tutatoa maoni ila hapa tunatoa maoni ya DOMO kulipia familia 500 kodi ya miezi mitatu.
Hata wewe anzisha mada kuhusu mahusiano ya dini na kutoa msaada.
Hapa tunatoa maoni kuhusu hii habari ya huyo unayemuita DOMO kulipia kodi familia 500.

Maoni yangu binafsi:
Mimi nampongeza sana kijana katika hili, tena azidi kutangaza zaidi ili taarifa iwafikie watu wengi zaidi.
 
Mambo ni mengi na muda upo.

View attachment 1431169
Huyo dada kayataka mwenyewe Kama kweli alikuwa anataka diamond atoe huduma kwanza asingemblock diamond, angeruhusu watoto wamtembelee baba yao dar hata siku moja, Asingebadili uraia wa watoto bila ridhaa ya baba yao,Asingekuwa anawapeleka watoto kanisani wakati baba Ni muislamu mwisho kabisa atengeneze mahusiano mazuri na mzazi mwenza sambamba na kutoa ushirikiano mzuri kwake ili huduma ifanyike
 
Kweli ni mambo yao hayo.
Ila kupeleka watoto kanisani kwani kabadili dini mganda yule? Si mwislam wa kuzaliwa yule?
 
Wewe ndio mpuuzi KUBWA zima unanunuliwa simu na DOMO na kuwekewa BANDO kuja kumtetea DOMO humu mitandaoni,ukitoa sadaka hautakiwi kutangaza,kama anataka kutoa sadaka aende REPOA au TASAF atapewa takwimu na contacts za masikini katika kila eneo!!
Ndio madhara ya kukimbia shule haya mkidhani bangi za chooni na ununda una mafanikio kuliko elimu, Kama unadhani elimu ni gharama jaribu upumbavu ambao una gharama mno ya kukufanya uonekane mbumbumbu kama hizi kauli unazotoa zinazokufanya uonekane haupo sawa kichwani,- hivi unaijua adjustment ya charities na donations kama anazofanya kijana kulingana na sheria zetu za nchi??? Unajua adjustment yake kwenye financial statements?? Unajua itakuwa adjusted kwenye financial statement ipi?? Hivi unaijua hata financial statement??asipofanya alichofanya unajua kitamuathiri vipi kulingana na sheria za money laundering?? Hivi unajua kwanini Marehemu mzee Mengi alikuwa hatoi misaada kimyakimya licha ya kuwa mzee mstaarabu sana,

Kama hujui, rudi shuleni, sio lazima kuja huku kuponda juhudi za kijana
 
Comment ya kitoto hii

Back
Top Bottom