Msanii Ditto afungua kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 6 dhidi ya Multi Choice (DSTV)

Kiutani utani anaweza kuambulia hata Bilioni 1

Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni 500.

Ay naskia aliwekeza kwenye biashara ila kwa Fa itakuwa alitia hata milioni 200 kwajili ya kampeni za ubunge, kuwatuliza wajumbe, n.k
Mbona wajumbe walimkata
 
Wabongo bwana nyimbo zenu zisipopigwa mnapiga kelele mnabaniwa. Zikipigwa ndio mnajitutumua. Mbona zinapigwa kwenye bar za pombe za kienyeji hamdai fidia?
Hoja yako ni ya msingi, wameshindwa kulipigania hili. Mwanafalsafani amepewa kitengo alikuwa na kelele nyingi, naye naona sasa hivi anasherehekea matunda ya Uhuru tu.
 
Kiutani utani anaweza kuambulia hata Bilioni 1

Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni 500.

Ay naskia aliwekeza kwenye biashara ila kwa Fa itakuwa alitia hata milioni 200 kwajili ya kampeni za ubunge, kuwatuliza wajumbe, n.k
Pamoja na hayo,ila FA hakushinda kura za maoni Handeni.
 
Bar zinapigwa kama sehemu ya burudani... Ila pale lilikua ni tangazo
Burudani ni pale unaponunua wimbo huo na kupiga nyumbani kwako. Bar hakuna Cha burudani kati ya mmiliki wa bat na mteja, anamvutia ili aendelee kunywa afanye biashara zaidi. Kwa lugha nyingine ni kutangaza biashara. Kama mteja UTAKUWA umenunua wimbo huo ukaenda nao baa ,ukawa unajisikilizia mwenyewe kwenye earphones zako hapo ndio burudani
 
Wabongo bwana nyimbo zenu zisipopigwa mnapiga kelele mnabaniwa. Zikipigwa ndio mnajitutumua. Mbona zinapigwa kwenye bar za pombe za kienyeji hamdai fidia?
bar wimbo unapigwa kwa ajili ya kuburudisha walevi ambao ni mashabiki lakini huko kwingine wimbo unapigwa ili kuitangaza kampuni
 
Back
Top Bottom