Msanii Ditto afungua kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 6 dhidi ya Multi Choice (DSTV)

Mbona wajumbe walimkata
 
Wabongo bwana nyimbo zenu zisipopigwa mnapiga kelele mnabaniwa. Zikipigwa ndio mnajitutumua. Mbona zinapigwa kwenye bar za pombe za kienyeji hamdai fidia?
Hoja yako ni ya msingi, wameshindwa kulipigania hili. Mwanafalsafani amepewa kitengo alikuwa na kelele nyingi, naye naona sasa hivi anasherehekea matunda ya Uhuru tu.
 
Pamoja na hayo,ila FA hakushinda kura za maoni Handeni.
 
Bar zinapigwa kama sehemu ya burudani... Ila pale lilikua ni tangazo
Burudani ni pale unaponunua wimbo huo na kupiga nyumbani kwako. Bar hakuna Cha burudani kati ya mmiliki wa bat na mteja, anamvutia ili aendelee kunywa afanye biashara zaidi. Kwa lugha nyingine ni kutangaza biashara. Kama mteja UTAKUWA umenunua wimbo huo ukaenda nao baa ,ukawa unajisikilizia mwenyewe kwenye earphones zako hapo ndio burudani
 
Wabongo bwana nyimbo zenu zisipopigwa mnapiga kelele mnabaniwa. Zikipigwa ndio mnajitutumua. Mbona zinapigwa kwenye bar za pombe za kienyeji hamdai fidia?
bar wimbo unapigwa kwa ajili ya kuburudisha walevi ambao ni mashabiki lakini huko kwingine wimbo unapigwa ili kuitangaza kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…