Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

Hii kiki imeenda mbali sana. Kuna mashabiki wake ambao hawajapevuka kiakili kama matineja wataanza kuamini kuwa kujiua sababu ya mapenzi ni kitu kizuri. Hakuna upuuzi kuliko kujiua kwa sababu ya mapenzi. Meneja wake amuonye, mwenendo wake ni hatari wa kwa mstakabali wa vijana wetu.
 
Sexual harassment. Stalking. Lack of respec to the serious issue of suicide. Imbecilic insensitivity.
Hahhahaa....

Hili ungelitoa kwa kiswahili bila shAka ungekua na ban now....
 
Huu ni upuuzi uliopita kiwango cha lami.
Kuna mmoja aliwahi kuniambia ujinga kama huu, nilimjibu kwamba...... Kufa, kisha tutakuzika, then nitakusahau, na nitapata mwingine
 
Huu ni upuuzi uliopita kiwango cha lami.
Kuna mmoja aliwahi kuniambia ujinga kama huu, nilimjibu kwamba...... Kufa, kisha tutakuzika, then nitakusahau, na nitapata mwingine
tehteh..Hadi akasepa JF moja kwa moja..teh
 
nimeangua kicheko eti badala ya kuhuzunika maneno yake ya mwisho mwisho😱😱😱
 
Mimi nitakua tofauti kidogo niwachache wenyemoyo Kama wake pia kujiamini anakofdensi pia ameonyesha hisia zake
 
hivi jaman ebitoke huo uso ni kwamba unamafuta mafuta ile naturally yn born with au ndo huwa anajisiliba??

huo muonekano wa mafuta mafuta usoni unanifanya mpka leo nikitumiwa kichekesho nikajua tu kuna ebitoke bs nadelete bila hata kuangalia....!![emoji769]
 
4d4b9ded152f20a93a763828b2139202.jpg

Exclusive [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom