Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Fariki tu!Mimi nampa mwezi mmoja Paprika ukipita tuu kabla hajanikubalia basi LAZIMA NIIFARIKI DUNIA..! [emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fariki tu!Mimi nampa mwezi mmoja Paprika ukipita tuu kabla hajanikubalia basi LAZIMA NIIFARIKI DUNIA..! [emoji125][emoji125]
Naye anakusalim sanaaaa[emoji6][emoji6][emoji106][emoji106]
tupo watz million 45+
tuna mahekali ya ardhi
ukichoka kula ugali.... ipo kwaajili yako
makamera man wapo wataweka kumbukumbu zako..
Dah hapo nmecheka sana mkuu yan apunguze mgao wa noha at nini?????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwache aondoke atupunguzie idadi ya watu kwenye mgao wa Noah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katumwa huyo kwani mapenzi lazima hebu ben paul kula kisha usepe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
si katoa tahadhari mapema! ata akifa tujue kilichomuuaKha amuache kijana wa watu, kwani kupendwa ni lazima?
Huyu nae anatafuta kiki tu hana lolote[/QUO anatafuta KIKI kwa PIKIPIKI🙁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona analilia na kaenda mbali atajiua kama atakosa chululu
Nimemfikiria Ben kama mwanangu alafu kuna mtu anamganda mpaka inakua keroKinachonishangazaa pia... Wadada wengi waliokomenti hukuu wanasapoti mwenzao kujiua ni hatari Sanaa.... Mwacheni kapenda Boga na ua lake[emoji23][emoji23]
Kunywa soda,Ntalipa mkuuWanaojiua hawasemi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiku mmoja, tulikuwa tunajivinjari kule south beach, Kipepeo. Sasa mshkaji wetu mmoja wa kuitwa Diki alikuwa na demu wake ufukweni wanapiga story zao si hatuna habari. Mara tukasikia demu anapiga kelele, "Anajiuaa! Jamani nisaidieni anajiuaa!". Tukaacha bia zetu tukaenda mbio. Ndio tukamkuta Diki kasimama maji ya ugoko anataka kujiua kisa demu wake hamtaki tena. Tukaona huu ujinga huu. Tukamwambia Diki maji ya ugoko huwezi kufa, sogea kule mbele usitupozee muda wetu. Mpaka leo tukikumbuka tunacheka
Haaaa haaaaa [emoji40]Utamu wa dyu dyu hujawahi kumuacha msichana salama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama Sizonjechizi tuu huyo ana tafuta kiki
Sexual harassment. Stalking. Lack of respec to the serious issue of suicide. Imbecilic insensitivity.