Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

tupo watz million 45+
tuna mahekali ya ardhi
ukichoka kula ugali.... ipo kwaajili yako
makamera man wapo wataweka kumbukumbu zako..

Mwache aondoke atupunguzie idadi ya watu kwenye mgao wa Noah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katumwa huyo kwani mapenzi lazima hebu ben paul kula kisha usepe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwache aondoke atupunguzie idadi ya watu kwenye mgao wa Noah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katumwa huyo kwani mapenzi lazima hebu ben paul kula kisha usepe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah hapo nmecheka sana mkuu yan apunguze mgao wa noha at nini?????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kinachonishangazaa pia... Wadada wengi waliokomenti hukuu wanasapoti mwenzao kujiua ni hatari Sanaa.... Mwacheni kapenda Boga na ua lake[emoji23][emoji23]
 
Kinachonishangazaa pia... Wadada wengi waliokomenti hukuu wanasapoti mwenzao kujiua ni hatari Sanaa.... Mwacheni kapenda Boga na ua lake[emoji23][emoji23]
Nimemfikiria Ben kama mwanangu alafu kuna mtu anamganda mpaka inakua kero
 
Usiku mmoja, tulikuwa tunajivinjari kule south beach, Kipepeo. Sasa mshkaji wetu mmoja wa kuitwa Diki alikuwa na demu wake ufukweni wanapiga story zao si hatuna habari. Mara tukasikia demu anapiga kelele, "Anajiuaa! Jamani nisaidieni anajiuaa!". Tukaacha bia zetu tukaenda mbio. Ndio tukamkuta Diki kasimama maji ya ugoko anataka kujiua kisa demu wake hamtaki tena. Tukaona huu ujinga huu. Tukamwambia Diki maji ya ugoko huwezi kufa, sogea kule mbele usitupozee muda wetu. Mpaka leo tukikumbuka tunacheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yoyote anayewaza kujiua,hashndwi kukuua

[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] WA kuoa#
 
Kifo chake hakitaishangaza dunia....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom