Hiyo nyumba aliyo shikilia hlo geti ni nyumba yake sijui alipata wapi akili za kujengamimi nampendaga tausi mdegela mje na camera mnichukue video View attachment 520437
Na mimi ujumbe wangu utanifikishia lini?[emoji30][emoji30][emoji30]Ameamua kuweka mambo hadharani ujumbe umfikie mlengwa
Biashara huwa ni asubuhi asubuhi mkuu!Aisee. Hii ni hatari sasa kuigiza siku mbili tatu tayari ameshatamani. lol
Kisa kumpenda Ben au?Nimemshusha thamani sana kwa jambo hili ,nilikuwa namkubali lakini kwa sasa nakaona kama katahira fulani ambacho hakajielewi .
Daaah umenena sana na wanaliaaUsiombe Mwanamke Akikutongoza Huwa Wanamaneno Mazuri Sana Kuliko Siye Wanaume
[emoji3][emoji3]me bado naamini hayuko serious, ni mwendelezo wa vichekesho vyakeUkute anaigiza.
Kudate na waigizaji yataka moyo manake unaeja jikuta unafall kumbe mwenzio anaigiza.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa ujasiri huu, huyu dada ni kiwanda, azma ya TZ ya viwanda inaanza kutimia.
Baada ya sterio na chemical kaibuka huyu tena.Msanii wa vichekesho Anna Exavery a.k.a Ebitoke amefunguka na kusema yupo serious akimtaka Ben Paul awe mpenzi wake
Amedai ameanza kumzimia kitambo kabla hajawa maarufu ial hkuweza kuonana nae kwa kuwa alikuwa hafahamiki
Ameongezea ujumbe wake akimuonyesha mtoto wake umemuumiza sana kwakuwa alikuwa anasubiria jibu kutoka kwake,
Pia kuna siku alipost picha na kuandika ujumbe wake kisha Ben Paul akamjibu na kumuonyesha alama za love akadhani amemuelewa ila kuja kuona kwenye akaunt yake akashangaa kuona picha ya mtoto wake lakini mtoto wake anaweza kuishi nae akamlea,
Amedai ameongea akilia kwa sababu anaumia na skendo yake ya kupakwa mafuta haijali sababu anampenda mnoo