Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

mbona kama anaigiza....bongomuvi bhana.[emoji23]
 
Nahisi Ben Pol atakuwa na kibamia tuu ndio maana anaepuka aibu, yani fursa mubashara imejileta yenyewe alafu mtu bado una remba tuu
 
Mapenzi ni kama watu walio kwenye mstari ulionyooka. Kila mtu anampenda aliye mbele yake.
 
Duh...!! Ebitoke eeh hii ni KIKI ama..??

Ila mtaendana wa kuwa wote mnaonesha mnapenda kupaka mafuta.,, Ebitoke unavyojisiliba hiyo mifuta usoni Duh., utadhani ugomvi
 
Msanii wa vichekesho Anna Exavery a.k.a Ebitoke amefunguka na kusema yupo serious akimtaka Ben Paul awe mpenzi wake
Amedai ameanza kumzimia kitambo kabla hajawa maarufu ial hkuweza kuonana nae kwa kuwa alikuwa hafahamiki



Ameongezea ujumbe wake akimuonyesha mtoto wake umemuumiza sana kwakuwa alikuwa anasubiria jibu kutoka kwake,
Pia kuna siku alipost picha na kuandika ujumbe wake kisha Ben Paul akamjibu na kumuonyesha alama za love akadhani amemuelewa ila kuja kuona kwenye akaunt yake akashangaa kuona picha ya mtoto wake lakini mtoto wake anaweza kuishi nae akamlea,

Amedai ameongea akilia kwa sababu anaumia na skendo yake ya kupakwa mafuta haijali sababu anampenda mnoo

Baada ya sterio na chemical kaibuka huyu tena.
 
Kama ambavyo wengi hamkuielewa sanaa ya kupakwa mafuta ya Ben, mmeshindwa pia kumuelewa Ebitoke
 
Huyu binti si bure malaria itakuwa amepanda kichwani awahishwe Mirembe
 
ngoja kwanza, hivi yule aliyempaka ben pol mafuta mgongoni mpaka kwenye msitari wa ikweta ni ke au me? nauliza tuu.
 
Back
Top Bottom