Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

si waona sasa?..mimi nampenda huyu kwa zati ya moyo wangu yeye ananpenda mwingine asiyempenda ila anampenda mwingine!!...maisha!!
 
Umenichoma moyo kumlilia mwanaume mwenzangu wakati mimi sina mtu.mimi nakuzimia wewe kitambo sana kabla ya huyo ben paul.na mimi pia nakulilia.NJOO KWANGU TUGUSANISHE MACHOZI
 
kuigiza kwingine buana, na hata kama unamaanisha nakushamngaa maana mie sio staa lkn nakuona hapana sijui huyo staa anaepaka mafuta
 
Kumlilia ben pol ilikua ni moja ya SCENE ya kichekesho chake.
Wewe kama unampenda mtafute utampata tu.
 
Kesho Hamorapa, utasikia akiseme huyu demu amenitongoza nikamkataza
 
Bado anaendeleza usanii ,not serious!!! Ukiwa siriaz Ben pol atakuwa wako.
 
Wakiwezeshwa wanaweza.

Halafu hawa kujua kama wanachekesha au wako serious kazi, hapo unaweza kuambiwa anafanya mazoezi ya movie.
 
Kumbe kukaa tako wazi dili ngoja na mimi kesho naweza nikajiopolea Sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…